Wilaya ya Kigamboni Imetengwa?

Wilaya ya Kigamboni Imetengwa?

Ni miaka minne sasa wilaya hii mpya (Km chache kutoka Ikulu ya Magogoni)haijajengwa hata KM 1 ya lami!!!Hayo Maendeleo yanafanyika wapi katika nchi hii?Kwa muhusika yeyoye atakayebisha juu ya habari hii aje na takwimu zake hapa.
Watuletee Kibada- Mwasonga-Tundusongani
Kibada-Mwasonga-kimbiji

Senta kubwa na barabara ina viwanda vingi lakin hakuna kitu cha maana, kutwa nzima imachongwa tu
 
Back
Top Bottom