DOKEZO Wilaya ya Kilwa iangaliwe mara mbili mbili kwani hela ya likizo Kwa watumishi ni kero

DOKEZO Wilaya ya Kilwa iangaliwe mara mbili mbili kwani hela ya likizo Kwa watumishi ni kero

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

kibabu mtoto

Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
64
Reaction score
102
Habari Wadai.

Hili jambo linakera sana watumishi wa halmashauri ya Kilwa hususan walimu wa sekondari. Inashangaza kuona mwalimu kaenea likizo tangu Juni 2021 na katumia nauli yake kwenda likizo, cha ajabu hadi sasa nauli ya likizo ya serikali haijalipwa Kwa mwalimu husika. Ukiuliza inakuwaje inakuwa. Kama unatafuta ubaya Kwa viongozi wa wilaya.

Hali hii Kwa kweli inakatisha tamaa, maana hakuna jibu tunalopewa na viongozi wetu ilhali ni haki yetu. Inafikia hatua watumishi wengine wamekata tamaa ya kudai nauli za likizo Kwa kuwa ni mchakato wa muda mrefu ulsio na mafanikio.

Naomba wahusika mlitazame hili kwa jicho la tatu. Nawakilisha
 
Back
Top Bottom