L lutelemba Member Joined May 25, 2011 Posts 26 Reaction score 1 May 30, 2011 #1 Huwezi amini hadi lleo walimu wapya bado hawajalipwa pesa ya mizigo ili hali wilaya zingine tayari zimeshawalipa. wanajamii tusaidianeni mawazo hapa kuna tatizo.
Huwezi amini hadi lleo walimu wapya bado hawajalipwa pesa ya mizigo ili hali wilaya zingine tayari zimeshawalipa. wanajamii tusaidianeni mawazo hapa kuna tatizo.