KERO Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imetelekezwa kwa muda mrefu bila maendeleo

KERO Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imetelekezwa kwa muda mrefu bila maendeleo

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, haina hata kilometa ya lami, haina miradi yoyote ya maji. Imetelekezwa.
Wananchi waomba kuhamia nchi ingine. Mbunge hajasadia chochote.
 
Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, haina hata kilometa ya lami, haina miradi yoyote ya maji. Imetelekezwa.
Wananchi waomba kuhamia nchi ingine. Mbunge hajasadia chochote.

Ngoja tujemge daslama kwanza, kura nyingi ziko huku.

Halafu wasukuma huko hamna bei, CCM huwa mnaichagua tu, kwamba liwalo liwe!
 
Back
Top Bottom