Mkyamise
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 482
- 614
Hivi vibao vya anuani za makazi mmevichanganya. Barabara ya kutoka Mwanza kwenda Musoma inaitwa NYERERE ROAD. Ninyi mmeiita MUSOMA ROAD. Maeneo ya Kisesa wameandika inaitwa NYERERE ROAD hivyo hivyo na wilaya ya Busega wameiita NYERERE ROAD.
Hata Mwanza mjini barabara hii ilipoanzia inafahamika NYERERR ROAD. Rekebisheni hivi vibao.
Hata Mwanza mjini barabara hii ilipoanzia inafahamika NYERERR ROAD. Rekebisheni hivi vibao.