Ninazungumzia barabara kuu inayotoka Mwanza kwenda Musoma. Hii inaitwa NYERERE ROAD. Sio Musoma road. Barabara hii imeanzia Mwanza mjini, Magu, Busega, Bunda, n.k. Haiwezekani Mwanza mjini wakaipa jina lingine, wilaya ya Magu ikaipa barabara hii jina lingine, Busega jina lingine n.kwewe ndio utatuchanganya zaidi , barabara ya kutoka kituo cha polisi kwenda hospitali ya wilaya ya magu inaitwa nyerere road hivyo kukwepa kuchanganya watu zaidi barabara ya Mwanza - musoma inaitwa musoma road ukiwa magu mjini
Wew ndo unajichanganya mwenyew ..musoma road ndo nyerere road ,hata mwanza sometime huwa wanaita hvyo . sawa sawa na Kenyatta road inavyoitwa Shinyanga road au airport road inavyoitwa makongoroNinazungumzia barabara kuu inayotoka Mwanza kwenda Musoma. Hii inaitwa NYERERE ROAD. Sio Musoma road. Barabara hii imeanzia Mwanza mjini, Magu, Busega, Bunda, n.k. Haiwezekani Mwanza mjini wakaipa jina lingine, wilaya ya Magu ikaipa barabara hii jina lingine, Busega jina lingine n.k