Wilaya ya Makete ina Makabila manne(4)

Wilaya ya Makete ina Makabila manne(4)

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,154
Reaction score
7,083
Wazawa wa Makete wakiwa nje ya Makete wanajitambulisha kuwa wote ni Wakinga.
Ukweli ni kwamba kuna makabila manne ambayo ni Kinga,Wanji,Magoma na Mahanji.
Wakinga ndio wengi kuliko makabila mengine salamu yao ni Mapembelo vavene,wakati upande wa makabila mengine hakuna hii salaam pia lugha hazifanani
Sio kweli kuwa kila mzawa wa Makete ni Mkinga
 
Na sio wakinga wote Ni wajukuu WA mwakipande
Na sio wakinga wote alhamisi Ni siku Yao ya kuabudu mungu WA kikinga
Na sio wakinga wote Ni wabahili
Na sio wakinga wote wanajua kupika usuge na delega
Na sio wakinga wote wanajua kupika maandazi ya kikinga, aumkate WA kikinga almaarufu tuntemeke
Na sio wakinga wote wanalisha wagonjwa kiporo cha usuge au kupasha kiporo cha ngonjwa mpaka kiishe pale ikonda hospitali
Sio wakinga wote wanalisha mfyele tetere ili atoe maziwa mengi
 
Mamaya nilifikiri wewe ni mtu wa Rombo
 
Mimi ni Mmagoma siwezi kusema ni Mkinga hata kama niko nje ya Makete
 
Wanao ishi Mlanda na Kata ya Kigulo ni kabila gani????
 
Back
Top Bottom