"Wilaya ya Mbezi Beach" kama inavyoelezwa kwenye taarifa hii ina maana gani?

Wana mikoa yao na na wilaya zao hao mfano kwa polisi kinondoni ni mkoa na una RPC wake, ilala hivyo hivyo
 
Hiyo ni wilaya ya ki Tanesco.. hao wana mikoa yao pia... mfano mkoa wa magomeni ama mkoa wa kinondoni..

Polisi pia wana mikoa yao na wilaya zao
Nilikuwa vigwaza mita ya umeme inesema mkoa wa buguruni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…