Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heka wanauzaje? ni poli ama linakuwa limelimwa?Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao mbalimbali hasa ya matunda kama vile peas, parachichi na apples,
NJOO uwekeze uinue kipato chako,
Mashamba yanaparikana
Hasa ya matunda?Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao mbalimbali hasa ya matunda kama vile peas, parachichi na apples,
NJOO uwekeze uinue kipato chako,
Mashamba yanaparikana
Ekari au hekari?Heka wanauzaje? ni poli ama linakuwa limelimwa?
Heka. Hii ni kukodi ama kununua?(50,000/=)Ekari au hekari?
Bei inaweza kuwa kuanzia 50,000/ekari kutegemea na mahali lilipo.
Kununua. Unaenda kulima parachichi kwa kukodi?Heka. Hii ni kukodi ama kununua?(50,000/=)
Unachagua wwHeka wanauzaje? ni poli ama linakuwa limelimwa?
Mashamba bei gani uko?Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao mbalimbali hasa ya matunda kama vile peas, parachichi na apples,
NJOO uwekeze uinue kipato chako,
Mashamba yanaparikana
Kijiji gani iko niangalie na umbali ?Unachagua ww
Ekari 300000 Hadi 800000Mashamba bei gani uko?
Kama ardhi ipo 50k umasikini tulionao ni wakujitakia kabisaKununua. Unaenda kulima parachichi kwa kukodi?
Ekari 300000 Hadi 800000Mashamba bei gani uko?
Km 50 Toka Mafinga mjiniKijiji gani iko niangalie na umbali ?
Kwaiyo 50k ni poli ambalo alijalimwa
Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.Hasa ya matunda?
Umeacha kilimo cha miti ya mbao na nguzo kama pine na eucalyptus.
Halina mafuriko kwenye huo mto mkuu? sema sijawahi waza kwenda huko hadi nifike niangalieko kwanza. nimefurahi sanaPesa isikae mfukoni, tununue ardhi.
Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na mazao mengine.
Sifa za shamba:
-- Liko eneo la Mufindi, kata ya Kibengu karibu na msitu wa Sao Hill
-- Lina ukubwa wa eka 60 zenye rutuba
-- Linafikika kwa gari kwani limepitiwa na barabara, kwa hiyo ni rahisi kusafirisha mazao yako.
-- Liko karibu na mito miwili - huhitaji kuchimba visima kwa ajili ya kumwagilia (unaweza kufuga samaki na mifugo mingine)
Mawasiliano: 0676373070
Uko mpaka nije nioneEkari 300000 Hadi 800000
Au 100000 kama utanunua kuanzia ekari 50 na kuendelea