Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao hasa ya matunda

tamu 3

Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
63
Reaction score
122
Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao mbalimbali hasa ya matunda kama vile peas, parachichi na apples,
NJOO uwekeze uinue kipato chako,
Mashamba yanapatikana

Mawasiliano
What's App 0679403344
 
Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao mbalimbali hasa ya matunda kama vile peas, parachichi na apples,
NJOO uwekeze uinue kipato chako,
Mashamba yanaparikana
Hasa ya matunda?
Umeacha kilimo cha miti ya mbao na nguzo kama pine na eucalyptus.
 
Hasa ya matunda?
Umeacha kilimo cha miti ya mbao na nguzo kama pine na eucalyptus.
Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.

Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na mazao mengine.

Sifa za shamba:
-- Liko eneo la Mufindi, kata ya Kibengu karibu na msitu wa Sao Hill
-- Lina ukubwa wa eka 60 zenye rutuba
-- Linafikika kwa gari kwani limepitiwa na barabara, kwa hiyo ni rahisi kusafirisha mazao yako.
-- Liko karibu na mito miwili - huhitaji kuchimba visima kwa ajili ya kumwagilia (unaweza kufuga samaki na mifugo mingine)


Mawasiliano: 0676373070
 
Halina mafuriko kwenye huo mto mkuu? sema sijawahi waza kwenda huko hadi nifike niangalieko kwanza. nimefurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…