Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka huu tarehe 27/11/2024.
Akizungumza na KITENGE TV Mhandisi Kawawa amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa uhuru na haki kwa kila mwananchi na maandalizi yote yamekamilika.
Soma Pia:
Akizungumza na KITENGE TV Mhandisi Kawawa amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa uhuru na haki kwa kila mwananchi na maandalizi yote yamekamilika.
Soma Pia: