Kuna Watu Wana roho mbaya Sanaaa...n ndo shida ya monopoly hiyo.
Aje mwingine afungue sheli hukoo aone mziki wake
Mama anaupiga mwingi
Yule mwarabu siku hizi hayupo?Daah Ngara Homeland kunanini tena hiki
Serikali fanya kitu Ngara tupone
Ngara mwalaye!
Hujui maana ya monopolyKuna Watu Wana roho mbaya Sanaaa...n ndo shida ya monopoly hiyo.
Aje mwingine afungue sheli hukoo aone mziki wake
Monopoly ni mbaya sana ndo maana first class world huwa wanaipinga kwa nguvu zote!Kuna Watu Wana roho mbaya Sanaaa...n ndo shida ya monopoly hiyo.
Aje mwingine afungue sheli hukoo aone mziki wake
Kwa Hiyo wilaya Yuko peke yake Ngara oil tumuiteje?!!!Hujui maana ya monopoly
Anawatesa sanaaa...daahhhMonopoly ni mbaya sana ndo maana first class world huwa wanaipinga kwa nguvu zote!
Airbus walipokuwa wanatengeneza A380, engine manufacturer aliyeshinda tenda alikuwa ni Rolls Royce akitumia engine ya Trent 900. Baadaye Airbus waliona ni risk kuwa na engine supplier mmoja, wakawashauri Pratt & Whitney waungane na General Electric ili wawe second option kwenye engine supplier. Ndipo ilipozaliwa kampuni ya Engine Alliance wakaja na engine ya GP 7000.
Wasingechukua hatua hiyo, A380 ingefeli hatua za mwanzo kabisa.
Ngara Oil ana petrol station nyingi huko Ngara, akiamua kuzingua mji lazima uyumbe.