Wilaya ya Nyasa

Mifwa

Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
56
Reaction score
19
Wakuu natafuta mwalimu wa kubadilishana nae idara sec. mimi nko wilaya ya Nyasa iko jiran na Mbinga nataka kwenda Njombe, Mfindi au Iringa phone no 0753925510 thx.
 
Mkuu ngoja waje wenye mahitaji naamini utapata tu japo Serikali yetu inagawa tu Mikoa na Wilaya mpya.
 
Baki Nyasa ndugu, kwani haina matatizo ya ulipaji fedha. Si umeona mmepewa wote mishahara na hela za kujikimu siku 7 siku mliyofika tu. Hakika hata madaraja yatapanda kwa uharaka.
 
Nataka niwe jran na nyumban Iringa! kwa huku nyasa nafundisha Kilumba sec. kata ya Kingerikiti uchumi wa huku wanategemea zaid kilimo cha kahawa, mahindi,maharage, ufuta n.k
 
Nataka niwe jran na nyumban Iringa! kwa huku nyasa nafundisha Kilumba sec. kata ya Kingerikiti uchumi wa huku wanategemea zaid kilimo cha kahawa, mahindi,maharage, ufuta n.k

Sasa huku Njombe uchumi wake unategemea Viwanda na Bandari?we piga kazi sisi ni Watanzania popote ni nyumbani.
 
Siondok huku kwa 7babu ya kutafuta eneo lenye uchumi mzur bz ata huku naweza fanya buznc vzur tu! nataka kurud home ili niwe jran na familia yangu na wanantegemea xana n ngumu kuiamisha familia yote toka Iringa had huku.
 
Nyasa ipokanda ya ziwa eeeh! naogopaje huko, maana nasikia mikoa ya kanda ya ziwa wanachinja watu kama anavyo chinjwa Ng'ombe.
 
Wakuu natafuta mwalimu wa kubadilishana nae idara sec. mimi nko wilaya ya Nyasa iko jiran na Mbinga nataka kwenda Njombe, Mfindi au Iringa phone no 0753925510 thx.

bandika matangazo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…