Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Kwani walemavu hawana hisia? Khaah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kesi ishakuwa ngumu hii. Sioni ni namna gani mlemavu anapata hisia ya kumsababishia ulemavu mwingine. Kazi kwao acha wapewe wanachotaka, matako ni yao hata hivyo πŸ™Œ
 
Nimepanga nyumba moja hapa Magomeni, vyumba karibu vyote ni mashoga, wazungu hawakauki hapa kuja kupiga miti tunakoelekea ni kubaya sana kama nchi mimi huwa naona mtu ambaye ni shoga hana mchango wowote katika taifaπŸ˜”
Kama una familia ikimbize haraka kabla mambo hayajaharibika.
 
Kwamba huko hospital wana determine huyu ndiye au siye? Au wote ni mlinganyo tuu?
Babes;

Sijasoma report ya hii study lakini kwa ninavyoelewa, Serikali+wadau kupitia mashirika/mipango kama NASHCoP/TACAIDS etc wanakuwaga na afua mbalimbali ambazo huwa kuna aspect ya kutambua makundi maalumu/makundi ambayo yako vulnerable kulingana na intervention husika.

Makundi hayo hutambuliwa ili wasaidiwe katika changamoto zao (hapa naomba tusiende deep sana) Sasa katika utambuzi huo ndio hupatikana takwimu yao. Hii data nadhani imetokana na utayari wa respondents ndio maana watu wanashangaa iweje TMK iwe na takwimu ya juu kuliko kinondoni ambapo kiuhalisia wote tunaona Kino wanaupiga mwingi? Kwahiyo yawezekana Temeke hao KVP’s ndio wamerespond zaidi, wameonesha ushirikiano na pengine wamekuwa mbele kama β€œbeneficiaries ” wa afua husika (utilization ya aspect za afua husika)

Naelewa Ubishani uliopo kwenye hii mada ni kuhusu actual prevalence vs recorded prevalence na hii haimaanishi kuwa TMK data imepikwa. Possible reasons za Discrepancy kati ya TMK na Kinondoni inaelezeka.

Kwenye interventions kama hizi inategemea zaidi na utayari wa respondents sababu ni mambo nyeti huwezi kwenda kuwaswaga watu watoke majumbani mwao waje wakupe ushirikiano. Na ndio maana β€œlabda” kwa necha ya watu wa Kinondoni (wanajiweza) au wako rigid(wanajua) data yao haijapatikana kwa ukubwa.

Sasa kwenye reporting huwezi kuanza kujitungia tu kuwa kiuhalisia Kinondoni ndio kuna mashoga wengi kuliko TMK, utareport kile ambacho data yako imekupa.

Strategist7 Hello.
 
Temeke huko buza chamazi
Mbagala si kuna vigoma wanawake+machok mwendo kutunzana
Kino,sinza,tabata machk wamefungiwa ndani wana faragha kuwaona mpaka kwenye matamasha shuguli za wasanii
All in all hali si shwari huko

Ova
 
Kigezo kingine cha Dar es salaam kuongoza kwa ushoga ni kuwa karibu na Zanzibar. Dar inafikika kirahisi na wazanzibar wanaofagilia mambo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…