Sasa hivi mashoga wako kada ya Afya, hasa nurses wa kiume, jamani ni wanaliwa mnooo. Lolhii true kuna watumishi kibao private sectors na wa umma ,na kwenye mitandao ya kijamii wanatumia fake id za kike mi kuna mmoja alishaga niijia fb nikadhani demu kuchat chat naye akanifungukia kumbe gay kwenye kumfuatilia ni mwalimu wa secondary ,wilaya fulani tanga just imagine mwalimu shoga iyo shule itakuwaje
Ushoga uko kila sehemu, kwa sasa hauepukiki, ila raha ya ushoga uwe na Elimu halafu taaluma ngumu, basi wanaume uchwara wanakua fear mnoo.Ushoga mpaka jeshini upo,Kuna mwanajeshi alipata ajali ya mguu akapewa ruhusa ,muda mwingi huwa namkuta viwanja anatoa ofa za bia Kwa wana.yaani yeye bia ni jtatu mpaka jtatu.ikaja kugundulika kumbe wale vijana anaowanunulia bia Kila siku ndio wanamfira(na walitoa maelezo wenyewe na ni zaidi ya mmoja) kesi ilienda mpaka kazini jamaa akasimamishwa kazi ila kiuhalisia jamaa alihamishwa mkoa mwingine ili kusafisha hadhi ya jeshi
Dear, Liboro Fc ni tramuuu, ogopa kitu inasimama dede na haina mifupa wala miguu, famchezo nini.Yaani mtu anaamua apokee libolo fc kisa hataki kufanya kazi daah ni huzuni kweli kweli
Sishangai.Sasa hivi mashoga wako kada ya Afya, hasa nurses wa kiume, jamani ni wanaliwa mnooo. Lol
Mbona wako mashoga wamesoma kozi nyingine za afya, wengine hadi Uhandisi wapo.Sishangai.
Mwanaume unasomeaje unesi!
Yes wapo mashoga mpaka wanyanyua vyuma.Mbona wako mashoga wamesoma kozi nyingine za afya, wengine hadi Uhandisi wapo.
πππ ila Waja, kuna kozi ya kike na kiume? LolYes wapo mashoga mpaka wanyanyua vyuma.
Ila unesi kwa mtoto wa kiume hapana kwa kweli.
Imekaa kikike sana hiyo kada.
Professionally hakuna.πππ ila Waja, kuna kozi ya kike na kiume? Lol
πππ basi sawaProfessionally hakuna.
Lakini kuna kozi uwa zinapendelewa sana na watu wa jinsia fulani hali inayofanya hiyo kozi kuonekana kama ni ya jinsia hiyo.
Mfano unesi kwa miaka mingi imekuwa ikipendelewa zaidi na wanawake kuliko wanaume.
Kwa sasa wanaume wengi wanisoma kwa sababu ya changamoto ya ajira pia kukosa pass za juu za kusoma kozi kama udaktari na pharmacy wengi ndio wanadondokea huko kwenye unesi.
Ndio mana nikiona mwanaume anafila wanawake huyo ni one tiketi kufila wanaume wenzake naye sio muda atafirwa..inasikitisha sanaHakuna tofauti,
Alooo,kuna kaukweli hapa mana kuna fala mmoja ni mfamasia sio poa anatongoza mabodaboda wamuweke kisha anawalipa.Sasa hivi mashoga wako kada ya Afya, hasa nurses wa kiume, jamani ni wanaliwa mnooo. Lol
Mkuu acha dharau kwenye taaluma za watuSishangai.
Mwanaume unasomeaje unesi!
Kama masekretari wanaumeProfessionally hakuna.
Lakini kuna kozi uwa zinapendelewa sana na watu wa jinsia fulani hali inayofanya hiyo kozi kuonekana kama ni ya jinsia hiyo.
Mfano unesi kwa miaka mingi imekuwa ikipendelewa zaidi na wanawake kuliko wanaume.
Kwa sasa wanaume wengi wanisoma kwa sababu ya changamoto ya ajira pia kukosa pass za juu za kusoma kozi kama udaktari na pharmacy wengi ndio wanadondokea huko kwenye unesi.
Kabisa.Kama masekretari wanaume
Ni kweli hawataki. Ila mabosi wana matatizo sana, secretary wa kiume ana shida gani sasaKabisa.
Mwanaume ukisomea usekretari watu wanakushangaa.
Hata maofisini mabosi hawapendelei sekretari wakiume.
Hiyo kozi ni kama imemilikiwa na wanawake.
πππNdio mana nikiona mwanaume anafila wanawake huyo ni one tiketi kufila wanaume wenzake naye sio muda atafirwa..inasikitisha sana
TRUE,kitengo kinajaa watoto wa kike unajikuta wakiume pekeeKabisa.
Mwanaume ukisomea usekretari watu wanakushangaa.
Hata maofisini mabosi hawapendelei sekretari wakiume.
Hiyo kozi ni kama imemilikiwa na wanawake.
Sijui hiyo kada kuna nini, ni wamejaa hatari, nurses wa kiume ni wanaliwa mnoo.Alooo,kuna kaukweli hapa mana kuna fala mmoja ni mfamasia sio poa anatongoza mabodaboda wamuweke kisha anawalipa.