Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

I can not imagine kwamba natoa pesa yangu kwenda kulipa jitu janaume zima pengine na midevu yake ili kufanya naye tendo. The idea tu ya kufanya hivyo kwa jinsia zote inatia kinyaa sana. Hivi kwanza unaanzaje kupata hilo wazo🤮!.
 
Utafiti wa uongo huo ..mashoga dar idadi yao ni kati ya 1/50 na 1/25 kwa kifupi ni kusema kila madarasa mawili ya wanafunzi wa kiume utoa shoga mmoja au wawili yaani kila darasa linakuwa na wanafunzi wa kiume 25 maana yake kila wanafunzi 25 kuna shoga mmoja sasa twende kwenye SAYANSI YA TAKWIMU ..
Mkoa wa dar es salaam una watu MIL 8
1)watu mil 8 toa jinsia ya kike yote unapata watu jinsia ya kiume kama watu mil 4 hivi ..hapa ndipo hesabu yetu inapo anzia

WATU WA JINSIA YA KIUME MILIONI 4 ....hapa napo tunatoa watoto wa chini ya miaka 14, wanabaki watu kama mili 2.5 kisha tafuta 1/25 ndiyo idadi ya mashoga kwa dar ..yaani 2,500,000÷25=100,000 ....hivyo mkoa wa DAR PEKEE UNA MASHOGA ZAIDI YA LAKI 1
 
Tupe uzoefu
Kimsingi ili umridhishe ni lazima umtimizie kama ambavyo alikuwa anafanya otherwise wakati wa tendo atajikuta tu anajiongeza mwenyewe (kujichezea tena sanaa) sasa ole wako uwahi kumaliza atakuja kukuona kero tu mtaachana tu kuna vitu kuviacha si rahisi kama watu wanavyotaka kuamini.
 

Kuna hoja ya dini fulani ni yamashoga
 
Kuna watu wamevurugwa mkuu yani huwezi amini kuna mtu hana muda na wanawake kabisa eti ni ngumu kuamini ila kuna watu sijui hata wana akili gani?
 
Dr. Mariposa unaona kazi yako inavyotuangamiza?
 
Tanga haimo kwenye 3 bora eti Dodoma na Mwanza ndio vinara.
 
Ukaribu wa wanawake unaweza kutambulika kama urafiki kuliko wanaume.
Mfano; Wanawake wawili wakibusiana na wanaume wakibusiana. Utawahi kujudge kina nani?

Ni rahisi msagaji kurudi kua mwanamke kamili na kujenga familia kuliko mashoga.
Ila kwa Mwenyezi Mungu hizo zote ni dhambi kubwa na zina uzito sawa.
 
HII NI LAANA KWA TAIFA CCM INAWACHEKEA MASHOGA.
Mashoga wamejaa katikati ya Mji
Kwenye makazi ya zamani ya wakazi halisi wa Dar es salaam ukipita katikati ya Mji maeneo kama Kinondoni, Tandale sinza Magomeni, Manzese, Ilala Keko, Temeke Sudani, Tanndika Azizi ALLY.
Mashoga wengi wao ni waswahili ambao ni waislamu.

Ukija huku kwetu kwenye makazi mapya ndio angalau kuna Ustarabu, Wasomi nk.
Yani kijichi, Goba, madale, mabwepande, Bunju boko nk

Ukifanya utafiti vizuri ndipo utajua kuwa hao vijana wengi walipata hiyo tatizo kwa mambo matatu.
1. Wengi walipata Madrasa
2. Single mothers.
3. Kulala na Wajomba.
4.UJINGA TU.
 
Wapewe cheti cha ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…