Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Maisha ya DAR sio maisha kabisaa!!
 
Labda wanatoka TMK wanakuja kino Kujiachia
 
Nenda kule Tandale, manzese, Kinondoni, Mtongani ya temeke mpaka mbagala kaangalie vijana wanaojihusisha mashoga ni dini ipi. Kisha turudi kwenye mjadala.
Makumbusho tu hapo vijana wengi wanaliwa
Sinza napo balaa
Wenyewe wanakuambia machk wana grade
Sasa watu kama wakina anko t,j.lokole Dr nani sijuwi
Wamepewa airtime watu wanawafatilia wanavutia na maisha yao lazima waingie huko

Ova
 
Mkuu sasa unakimbia mpaka lini? Nasikia na kibamba umepigwa hodi, utahama Chalinze?🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…