Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Petrol stations hazifungui au hata zenyewe hazina?Mkoa wa Morogoro wilaya za Malinyi ,Ifakara, Mahenge, Kilosa na Mvomero hakuna mafuta ya petrol wiki sasa, imefika tunashangaa hakuna tamko serikalini. Hii imeleta usumbufu mkubwa sana kwa wananchi.
Serikali imekaa kimya utadhani ni jambo la kawaida tu chukueni hatua.