Wilayani Mbozi, Waalimu wachangishwa Tsh 3000/= ya mafuta ya Mwenge

ngopyolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
1,940
Reaction score
1,517
Wilaya ya Mbozi wananchi tunaonewa sana, Sehemu nyingine hawachangii Mwenge lakini sisi tunalazimishwa. Agizo kutoka Halmashauri ya Wilaya, ni kuwa kila Mwalimu achangie Elfu tatu (30,00) Kwaajili ya mafuta ya Mwenge.

Je Mwenge hauna bajeti?

Na mwisho wa kutoa mchango ni Tarehe 22.06.2015.

HUU NI UONEVU WA WAZI KABISA.
 
katika vitu visivyo na tija kwa wananchi ni mwenge,hauna faida yoyote zaid ya kufuja kodi za walalahoi watanzania.
 
ukichangia utakua ujitambui akuna sheria itakayokufunga usipochangia halmashauri itoe hela ya mwenge waache wizi
 
Hawapaswi kuchangia kwa hlo ni suala la kujtolea km watakuwa hawana hakuna sheria yoyote itakayo wabana
 
tatizo wasipolipa wanaogopa kuhamishiwa polini na hiyo ndo mbinu wanayotumia kuwafanya waalimu wawe passive.
 
Hii ishu mm niileta hapa nadhan mwaka jana, tena ilikuwa sio kuchangishwa ktk halmashauri yetu walikatwa 2000 kila Mwl direct kutoka ktk salary, kuhoji...majibu nikwamba imekatwa kwaajili ya mwenge, nikahoji wana jukwaa nihaki kweli. Niliambulia majibu ya kejeli nk.
 
sisi tumeambiwa huku tuchangie 2000 ya mwenge, yaani baada ya kuliona tu hilo tangazo nilinunu vocha ya 2000 nikajiunga kifurushi cha wiki.
 
Katika vitu ambavyo havina faida basi ni mwenge unakula hela nyingi ya maendeleo na hausaidii chochote leo wafanyakazi wa manispaa ya morogoro wamevaa sare wanasubili mwenge hii hela inatoka wapi mbona vijana wanakosa mikopo chuoni na miundombinu ya shule za kata haiboreshwi
 
Kazi Ya Mwenge Ni Kukitangaza Chama Cha Mapinduzi Kahiyo Wana Ccm Msisite!Changien Tuu Kwa Moyo Wote.
Na Mwenye Kit Wa Halmashauri Ya Wilaya Mbozi Mheshimia Elick Ambakisye Nae Ni Mwalim Kwahilo Msimsahau Kumpitishia Kamchango.

Changen Tuu Mungu Ata Walipa Wala Msichoke.
 
wameona kodi wanayo wakata haitoshi mpaka wanaingia na kuwachangisha jamani huluma kidogo kwa walimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…