Wilder vs Breazeale..Knockouts raundi ya kwanza.

Wilder vs Breazeale..Knockouts raundi ya kwanza.

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,284
Reaction score
38,364
Wilder ameshinda kwa knockout raundi ya kwanza dhidi ya Breazeale.

Huyu Wilder atakuja kuua mtu ulingoni maana anapiga kama anaua Nyoka.

Ni muda muafaka uje mpambano wa Wilder vs Joshua.
 
Wilder alisema anataka kuweka rekodi ya kuua mtu ulingoni....ana maneno huyo ila kwa AJ atatulizwa tu
 
Huyu kiumbe ni hatari
 
Nilisema jamaa atachezea kitasa

Ova
 
Back
Top Bottom