Wilfred Ndidi kiungo bora mkabaji EPL kwasasa

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kufatia kusuasua kwa Viungo wakabaji kama Wanyama, Nemanja Matic na Kante kumetoa nafasi kwa Mnigeria Wilfred Ndidi msimu huu kuwa katika fomu nzuri huku akiwapita kwa mbali sana wakabaji wengine.

Ni suala la muda tu kabla ya timu kubwa kuanza kumfukuzia Onyinye Ndidi wa Leicester City ambaye anaongoza kwa kupiga tackling, blocking na interception huku pia akiwa mwiba kwa kuanzisha mashambulizi ya kwenda golini kwa adui.
Screenshot_2018-02-04-20-47-17.png
 
Yule mbrazil wa wa ile timu isiyokuwa na uwanja nae anasuasua??
 
Kufatia kusuasua kwa Viungo wakabaji kama Wanyama, Nemanja Matic na Kante kumetoa nafasi kwa Mnigeria Wilfred Ndidi msimu huu kuwa katika fomu nzuri huku akiwapita kwa mbali sana wakabaji wengine.

Ni suala la muda tu kabla ya timu kubwa kuanza kumfukuzia Onyinye Ndidi wa Leicester City ambaye anaongoza kwa kupiga tackling, blocking na interception huku pia akiwa mwiba kwa kuanzisha mashambulizi ya kwenda golini kwa adui.
View attachment 690480
Kuna huyu anaitwa fabinho.... Narudia anaitwa fabinho....

Ndidi wa Brendan Rodgers hatari Sana... Tena sana

Ila nakukumbusha.. Kuna fabinho..... Ndio fabinho
 
Back
Top Bottom