Wilhelm Gidabuday is Fed up with Tanzania Olympic Committee Leaders

Uyo jamaa alikuwa anakelele nyingi ila alipopewa ulaji akatulia kimyaa naona sasa ametoka anaanza tena
Kuna vigogo serikalini akiwemo mkuu fulani wa mkoa waliamua kumuaharibia kwa kuingilia majukumu yake ndio akaona isiwe tabu akawaachia ofisi, ajabu baada ya wao kuachiwa nao wakapotea riadha ikabaki haina mwenyewe

ila jamaa Gida namkubali toka akiwa nje ya nchi alikuwa na nia ya dhati kubadilisha riadha yetu Tz.
 
Mtaka uyo
 
Back
Top Bottom