Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
TOC ni chanzo cha kujiuzulu kwake, Kwa kuwa mkweki na Mwanaharakati wa Riadha...Uyo jamaa alikuwa anakelele nyingi ila alipopewa ulaji akatulia kimyaa naona sasa ametoka anaanza tena
Kuna vigogo serikalini akiwemo mkuu fulani wa mkoa waliamua kumuaharibia kwa kuingilia majukumu yake ndio akaona isiwe tabu akawaachia ofisi, ajabu baada ya wao kuachiwa nao wakapotea riadha ikabaki haina mwenyeweUyo jamaa alikuwa anakelele nyingi ila alipopewa ulaji akatulia kimyaa naona sasa ametoka anaanza tena
Mtaka uyoKuna vigogo serikalini akiwemo mkuu fulani wa mkoa waliamua kumuaharibia kwa kuingilia majukumu yake ndio akaona isiwe tabu akawaachia ofisi, ajabu baada ya wao kuachiwa nao wakapotea riadha ikabaki haina mwenyewe
ila jamaa Gida namkubali toka akiwa nje ya nchi alikuwa na nia ya dhati kubadilisha riadha yetu Tz.
Cc Kiboko ya JiweTumsikilize huyu Mwamba, Mwanaharakati wa michezo Tanzania hususani Riadha.