Wiliam Rutto mwanasiasa mashuhuri Africa na Duniani kote

stujadiliane

Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
66
Reaction score
84
Kwa watu wote wanaopenda Siasa na kuzifatilia watakubariana na Mimi kuwa Naibu Rais wakenya Shujaa Wiliam Rutto ndiye mwana Siasa mashuhuri katika karine hii..Wiliam Rutto ni mwanasiasa ambaye amepitia vikwazo vingi na vya hatari pengine kuliko mwanasiasa yeyote Africa

Ushujaa wake .uhodari wake wakujieleza ujasiri wake na juhudi zake ndiyo siraha pekee ambayo imemfanya awe hai katika siasa za ukabila na visasi.alinusurika na mikono ya Raila Omoro Odinga kisha akaponea chupu chupu huko ICC.

Wiliam Rutto ninyota inayongaa Africa.ndiye mwanasiasa mashuhuri kwangu katika kaline hii
 
Tutapata ripoti za wanasiasa mashuhuri karne hii akiwemo na Ruto.
Nafikiri mtoa mada hukatafakari vyema jaribu kufuatilia upya.
Ukiona mwanasiasa tunalazimishwa tu kuambiwa ni mashuhuri basi kuna walakini
 
Nawe!
Nimekuja mbio mbio nisome huo umashuhuri, kumbe unaongea kimoyo moyo!
 
Kwa watu wote wanaopenda Siasa na kuzifatilia watakubariana na Mimi kuwa Naibu Rais wakenya Shujaa Wiliam Rutto ndiye mwana Siasa mashuhuri katika karine hii..Wiliam Rutto ni mwanasiasa ambaye amepitia vikwazo vingi na vya hatari pengine kuliko mwanasiasa yeyote Africa

Ushujaa wake .uhodari wake wakujieleza ujasiri wake na juhudi zake ndiyo siraha pekee ambayo imemfanya awe hai katika siasa za ukabila na visasi.alinusurika na mikono ya Raila Omoro Odinga kisha akaponea chupu chupu huko ICC.

Wiliam Rutto ninyota inayongaa Africa.ndiye mwanasiasa mashuhuri kwangu katika kaline hii
Siraha ndio nini sasa??!
Kaline ndio nini ndugu!?
 
"Wiliam Rutto ni mwanasiasa ambaye amepitia vikwazo vingi na vya hatari pengine kuliko mwanasiasa yeyote Africa"

Ngoja mahaba yako kwa Ruto yakiisha utarudi kwenye senses

Kweli Kabisa Mzee Mandela anasuburi nyuma ya Ruto?

Mwalimu Nyerere

Mohamed Gaddafi pia?

Robert Mugabe pia?

Unavijua vikwazo vya hatari kweli?
 
"Wiliam Rutto ni mwanasiasa ambaye amepitia vikwazo vingi na vya hatari pengine kuliko mwanasiasa yeyote Africa"

Ngoja mahaba yako kwa Ruto yakiisha utarudi kwenye senses

Kweli Kabisa Mzee Mandela anasuburi nyuma ya Ruto?

Mwalimu Nyerere

Mohamed Gaddafi pia?

Robert Mugabe pia?

Unaijua vikwazo vya hatari kweli?
Japo nimempuuza lakini kaongelea "karne hii" sio iliyopita.
 
Kwa watu wote wanaopenda Siasa na kuzifatilia watakubariana na Mimi kuwa Naibu Rais wakenya Shujaa Wiliam Rutto ndiye mwana Siasa mashuhuri katika karine hii..Wiliam Rutto ni mwanasiasa ambaye amepitia vikwazo vingi na vya hatari pengine kuliko mwanasiasa yeyote Africa

Ushujaa wake .uhodari wake wakujieleza ujasiri wake na juhudi zake ndiyo siraha pekee ambayo imemfanya awe hai katika siasa za ukabila na visasi.alinusurika na mikono ya Raila Omoro Odinga kisha akaponea chupu chupu huko ICC.

Wiliam Rutto ninyota inayongaa Africa.ndiye mwanasiasa mashuhuri kwangu katika kaline hii
Inaonesha dhahiri usivyozifahamu vyema siasa za kenya ila umekuwa excited na majina ya wanasiasa hao,William Ruto ni kati ya wanasiasa ambao wamepata madaraka on silver plate na ambae hakupitia mikiki hiyo unayoisema,hakuwahi kuwekwa kizuizini kipindi chochote katika ufanyaji wa siasa zake,amefika hapo kupitia turufu ya ukabila kwa kuunga muungano na kenyatta kwa sababu ya idadi ya wapiga kura ya makabila yao,Ruto kamwe huwezi kumlinganisha na wanasiasa wenye calibre ya Julius malema na wengineo katika Africa
 
Sikujua kwamba bado Chang'aa linaruhusiwa kupikwa na kutumika huko kwa jirani😀
 
Siraha ndio nini sasa??!
Kaline ndio nini ndugu!?
Umenikumbusha wakenya waliokua wanahoji kwanini yule commissioner wa IEBC amejiuzulu akiwa marekani/dubai na uraia wake wa nchi mbili wakasahau kabisa kujadili alioyaongea kupelekea kujiuzulu kwake.
 
William Ruto is the ultimate and consumate corrupt leader in Kenya and Africa at large.
Mark my words. After Uhuru, he can simply forget about the presidency of Kenya. The Kikuyu will not allow it.
So you had a meeting with The Kikuyu people who confided this BS to you? Tell us more please.
 
Are you one of the corrupt Kalenjins? Any stupid person knows Ruto will never become the President of Kenya. The clever Kikuyu have simply used him to back Kenyatta!
Why are you stereotyping a community?

Are you among those stupid people you've just mentioned above?
 
Umenikumbusha wakenya waliokua wanahoji kwanini yule commissioner wa IEBC amejiuzulu akiwa marekani/dubai na uraia wake wa nchi mbili wakasahau kabisa kujadili alioyaongea kupelekea kujiuzulu kwake.
[emoji16]
 
Kwa watu wote wanaopenda Siasa na kuzifatilia watakubariana na Mimi kuwa Naibu Rais wakenya Shujaa Wiliam Rutto ndiye mwana Siasa mashuhuri katika karine hii..Wiliam Rutto ni mwanasiasa ambaye amepitia vikwazo vingi na vya hatari pengine kuliko mwanasiasa yeyote Africa

Ushujaa wake .uhodari wake wakujieleza ujasiri wake na juhudi zake ndiyo siraha pekee ambayo imemfanya awe hai katika siasa za ukabila na visasi.alinusurika na mikono ya Raila Omoro Odinga kisha akaponea chupu chupu huko ICC.

Wiliam Rutto ninyota inayongaa Africa.ndiye mwanasiasa mashuhuri kwangu katika kaline hii
Huyu mwanasiasa hodari ameishia wapi siku hizi?
 
Why are you stereotyping a community?

Are you among those stupid people you've just mentioned above?
One of the corrupt Kalenjins.
Not all Kalenjins are corrupt. Note the difference!
 
😂😂😂🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Back
Top Bottom