Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
What is in the kalenjini community is also in your community and perhaps your community is worse than kalenjini,usije hapa kujihesabia haki.One of the corrupt Kalenjins.
Not all Kalenjins are corrupt. Note the difference!
In all communities, there are good and bad (read - corrupt) people. Nothing strange about it. In reality, the issue is about a person who just happens to be a Kalenjin. Don't take it personal.What is in the kalenjini community is also in your community and perhaps your community is worse than kalenjini,usije hapa kujihesabia haki.
Isn't this your statement? Attack Ruto as a person,but don't attack Ruto by mentioning the community,every Kenyan is corrupt,2013 Ruto was not corrupt 2017 he was not corrupt but right now he is very corrupt because he will be vying in 2022.Are you one of the corrupt Kalenjins? Any stupid person knows Ruto will never become the President of Kenya. The clever Kikuyu have simply used him to back Kenyatta!
I can not take it personal because that is not my agenda here, we are here to exchange ideas, but not to engage into petty politics that doesn't add any value to us, whether Kikuyu used him or not it's a non issue at the moment so hold your horse till 2022.In all communities, there are good and bad (read - corrupt) people. Nothing strange about it. In reality, the issue is about a person who just happens to be a Kalenjin. Don't take it personal.
What is in the kalenjini community is also in your community and perhaps your community is worse than kalenjini,usije hapa kujihesabia haki.
Basi kibarua wanacho hata walete sikendol elfu moja hawatafua dafu , dynasties must fall , Ruto alipowaunga mkono alikua malaika sasa hivi amekua swaitani kisa na maana yuataka urais , Gideon moi ataisoma number, Jahazi tumelipanda na twaitwa hatushuki maana nahodha ana Akili zake nasi tuloshika nanga tuna akili zetu hata mashine ikizimwa jahazi litaendeshwa Kwa upepo .Huyo lazima ni kikuyu rafiki wa uhuru ama luo wanajaribu kumharibia ruto ndoto za kushinda 2022.
Kawaida hao wakongwe (uhuru na raila) wameiba zaidi ilhali wameanza vita kutumia serikali na media kwa kumpinga ruto baada ya uchaguzi wa juzi. Wanafiki sana!
Fresh blood ila sio Kwa 2022 maana hao fresh blood hawapo.Kenya tunataka fresh blood,hizi takataka za ODM,JUBILEE,WIPER,FORDkenya,etc
Nyumbani woteeeeee 100%
Mjinga ndio anaona hawako,kupuuzwa,na hawa wakora wako sahiiFresh blood ila sio Kwa 2022 maana hao fresh blood hawapo.
Kilaza asiejielewa ndio anaona fresh blood watakuepo 2022 ,sasa kulingana na wewe Joho,pk, mutua na Gideon hao ndio fresh blood? Hahahaaa,kausha mzee.Mjinga ndio anaona hawako,kupuuzwa,na hawa wakora wako sahii
NASA na Jubilee hakuna kiongozi ata mmoja,Kilaza asiejielewa ndio anaona fresh pblood watakuepo 2022 ,sasa kulingana na wewe Joho,pk, mutua na Gideon hao ndio fresh blood? Hahahaaa,kausha mzee.
Kulingana na siasa za Kenya jinsi zinavyochezwa sioni fresh blood akiwa na nafasi 2022, isitoshe wakenya hawapigi Kura kulingana na Sera za mtu ila wanapiga Kwa msukumo flani.NASA na Jubilee hakuna kiongozi ata mmoja,
Hao kina joho na mutua hakuna tofauti na Ruto,
Kutakuja kijana kama Bobbie wine ,wait and say tukichukua hiii nchi from cruel cartels.
Kwa ufisadi. Wizara ya elimu, kala. VP kala pesa za mahindi duuu.....Kwa watu wote wanaopenda Siasa na kuzifatilia watakubariana na Mimi kuwa Naibu Rais wakenya Shujaa Wiliam Rutto ndiye mwana Siasa mashuhuri katika karine hii..Wiliam Rutto ni mwanasiasa ambaye amepitia vikwazo vingi na vya hatari pengine kuliko mwanasiasa yeyote Africa
Ushujaa wake .uhodari wake wakujieleza ujasiri wake na juhudi zake ndiyo siraha pekee ambayo imemfanya awe hai katika siasa za ukabila na visasi.alinusurika na mikono ya Raila Omoro Odinga kisha akaponea chupu chupu huko ICC.
Wiliam Rutto ninyota inayongaa Africa.ndiye mwanasiasa mashuhuri kwangu katika kaline hii