Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Stupidity of the highest order.Ruto ni fisadi lililo kubuhu, 92"kala na akina jirongo, kaiba shamba la airport authority na kujenga hoteli hapo, muteshi kajaribu kumuibia shamba lake 2007 huko eldoret.... Jamaa hafai kabisa uyoo, atairudisha nchi ile miaka ya nyayo akishika dola huyoo! Cc jacob juma.
Ukweli huo...
Kuna wakora kushinda wakikuyu? Kwanzia Kwa kirubi iliiba kenatco akaiba uchumi imedhidimia hadi leo,Uhuru ameuza parking ya Kenya kule UK ambayo queen alipea Kenya 1969 Sahi as we speak KQ hawana parking kule London wanatumia parking ya KLM which they hire Kenyatta's family still wanataka kuchukua jkia through dubious deal huo sio wizi? Attacking Ruto here won't add a bread to your budget, mbona hakukua mwizi wakati anaunga mkono uhuru2013 and 2017 Leo hii ndio amekua mwizi? Your strategy of branding Ruto as the most corrupt won't work and for your information am not a kalenjini or a nilote, what I hate is cheap hypocrisy.Ukweli huo...
Ama juu wewe ni mkale lazma utete mtu wenu (wetu syndrome).
Wakora wote lazma waangushwe
Ukweli huo...
Ama juu wewe ni mkale lazma utete mtu wenu (wetu syndrome).
Wakora wote lazma waangushwe
Mmesha anza!! chonde chonde msije mkachinjana tena. Nyie Mungiki ikifika kipindi cha uchaguzi mnakua kama wanyama yote kwa sababu za kikabila na kikanda.Kuna wakora kushinda wakikuyu? Kwanzia Kwa kirubi iliiba kenatco akaiba uchumi imedhidimia hadi leo,Uhuru ameuza parking ya Kenya kule UK ambayo queen alipea Kenya 1969 Sahi as we speak KQ hawana parking kule London wanatumia parking ya KLM which they hire Kenyatta's family still wanataka kuchukua jkia through dubious deal huo sio wizi? Attacking Ruto here won't add a bread to your budget, mbona hakukua mwizi wakati anaunga mkono uhuru2013 and 2017 Leo hii ndio amekua mwizi? Your strategy of branding Ruto as the most corrupt won't work and for your information am not a kalenjini or a nilote, what I hate is cheap hypocrisy.
Sent using Jamii Forums mobile app
We toa umbea hapa, peleka kule kijiweni.Mmesha anza!! chonde chonde msije mkachinjana tena. Nyie Mungiki ikifika kipindi cha uchaguzi mnakua kama wanyama yote kwa sababu za kikabila na kikanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
2022 for Ruto/ kikuyu boyNaona unacheza faulo za kila namna kwa washindani wako hata wale unaohisi wataleta ushindani
Sasahivi nasikia huaminiani sana na uhuru kwani anaweza kukugeuka lakini unatumia nafasi yako barabaraaa kuhakikisha 2022 unatoboa
Ushauri mtumie vizur mr H ambaye umeamua awe mastermind wako ukifuata kila anachokushauri utafanikiwa
You like or not. Ruto will be your President 2022!Gone are the days when politians looted public resources with impunity,watu watashtuka sana 2022,most kenyans now are more concerned about their livelihoods and the future of their kids,tribalism is now taking a back seat when it comes to the choices of leaders,majority of those who will vote in 2022 are millenials who are smart,educated and well informed,all they want is freedom and bright future,hii upuzi ya ukabila tumechoka nayo sasa,mtu auze sera zake kwa wananchi ambao watachambua na kufanya maamuzi binafsi.huyu Ruto na ukora yake yote arudi sugoi,to hell with him,kila siku lazima aguswe na uporaji wa mali,bure kabisa...mababu na wazazi wetu wana ukabila sana,but we know better..2022 haha
Kama vijana wakenya wangewaza kama wewe mnge sogea sana. Ila mijitu kama Mwasiti ndiyo mingi. Ukimu uliza why vote for Ruto anakwambia SGR stations are the best!!!Platozoom..things have changed and people are more aware of their wellbeing and future rather than being of the same ethnic extraction..change is inevitable and constant..what am saying is will you vote for someone because you share the same ethnicity or will you vote for someone who is visionary..for me am beyond tribalism..leadership means alot in the society.
Mkikuyu-akili timamu ,the man with bitter pills[emoji23] [emoji23] [emoji23]Its high time Jubilee accepts that ruto is their 2022 candidate with no challanger..If you think he is corrupt, he is the face of jubilee party..Stop your hypocrisy and accept your flag bearer!
NdioNiliona mbali
Huyo mmempata anaitwa W S A RUTO.Huyu jamaa haya makashfa yake yamekua too much hadi uzalendo wangu kwake umeyumba, hii nchi inahitaji kiongozi ambaye hataogopa kufukua makaburi.
Anyway tusubiri yajayo, wote watajinasibu na itakua jukumu letu kufanya maamuzi kila mmoja wetu kivyake bila kushinikizwa au kulazimishwa.