Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
American candidates can...But not JK, or any African fellow!
After all he has the NEC(a calf of his own pregnancy) in place, how then do we even think of that?
Ikishindikana kabisa, Mukubwa ya NEC itaitwa Ikulu, watatengeneza jukwaa la kiushkaji(KAMA KENYA) na kumtangaza fasta, huku Jaji akiwa stand-by kumwapisha- basi, biashara nakwisha!
He will.
If he will not accept defit - a swear DAMU ITAMWAGIKA
mkuu achana na hawa watu wa chadema. haina haja ya kujibishana nao. wewe ukija na mawazo tofauti tu na chadema utashambuliwa kama mvua unavyonyesha kutoka kila kona ya jf. slaa atashinda hapa jf tu. ASILANI.Ukiwa umejiunga karibuni ukampinga Slaa na Chadema wewe hufai humu ndani!lakini ukiwa umejiunga hata leo ukawa mshabiki wa slaa na chadema haina shida "wewe mwenzeu"
Good question. Je na upinzani nao uta kuwa tayari kukubali matokeo? For it to be a democracy it should be a two way thing. I hope who ever loses will accept defeat. Maana kwa wengine uchaguzi si huru na wa haki mpaka washinde wao.
The statement "Ushindi ni lazima" ya JK na CCM kwa ujumla ndio inayotia shaka if they are truely ready to accept the negativity. Historically, It's two times tetesi zimeonyesha Maalim won the Zanzibar presdential seat but CCM never accepted and we know what has happened there. Lipumba (CUF) and Mbowe (CHADEMA) showed much political maturity by accepting the results in TZ Presidential seat, Mbowe even attended the inauguration ceremony in 2005.
HOW about JK??
Baada ya kujikomba kwa akina Bush , Obama et al itabidi akubali kishingo upande maana wanaweza wakamfungia threads asikanyage tena huko kwao kabisa wakati rafiki zake ni akina BOys Two Men na bado abapenda kuwatembelea hata baada ya kushindwa Upresida.
Well mkuu kusema "Ushindi ni lazima" haimaanishi mtu hata kubali matokeo. Ni kauli ya kutoa morari kwa kambi yake. Kwa hiyo that is not proof kwamba hato kubali ushindi.
Kuhusu Zanzibar Maalim mwenyewe kaamua kucooperate nao. Kama ange kuwa katendwa sana asinge kubali kushirikiana nao. Trust me story ya Zanzibar kuna mambo mengi ya ndani kwa nje hauwezi kuona.
Kuhusu Lipumba na Mbowe kukubali matokeo 2005 walikua hawana ujanja. Kikwete was very popular then na ili julikana moja kwa moja ata shinda. Sasa wange kataa nini? Na mwaka 2005 hakuna aliye expect upinzani kushinda. Swali ni mwaka huu ambayo according na upepo ya humu ndani ni kwamba Chadema wana chance kubwa je wata kubali?
Ninacho weza kukuambia mkuu ni kwamba usi chukulie sana hali unayo ona humu JF ukadhani ndiyo hali on the field.Jibu lipo kwa wapiga kura walio jiandikisha. Kuhusu JK kukubali au kukataa ni vigumu mtu yoyote humu ndani kuassume. Tuvute subira.

JK will have to accept no way out, najua itakuwa ngumu lakini hana jinsi. Ila nawasiwasi kama atakuwa hospital vile kwa sababu lazima aanguke tenaHw must accepf defeat!