fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Let us see tommorrow during the demostration if Raila will be arrested
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa za kenya zinashangaza sana lakina wao mihimili yao inaweza kutofautina kwenye mahamuzi....let us see tommorrow during the demostration if raila will be arrested
Unless hujaangalia Media za Kenya,watu wapo mtaani na leo ni wengi zaidi ya Jumatatu iliyopitaVipi huko mbona naona watu leo hawajatoka kuandamana?? au Raila kakwama>?? Raila mm nampenda lakini kitendo cha yeye na Uhuru kuzubaa Ruto akawapita kati hilo kwa kweli ni kosa lake atulie tu sasa...
Ila Kenyer nima matahira
Uchaguzi ulikuwa fair na wazi lakini Amani wanaona mzigo.
Ila umeshaelewa what i mean😁😁😁KENYA imekuwa KENYER 😀😀
Hapo Kenya kuna mjinga mmoja tu wa kuchomolewa bitriIla Kenyer nima matahira
Uchaguzi ulikuwa fair na wazi lakini Amani wanaona mzigo.