Will Raila be arrested?

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Let us see tommorrow during the demostration if Raila will be arrested
 
Vipi huko mbona naona watu leo hawajatoka kuandamana?? au Raila kakwama>?? Raila mm nampenda lakini kitendo cha yeye na Uhuru kuzubaa Ruto akawapita kati hilo kwa kweli ni kosa lake atulie tu sasa...
 
Vipi huko mbona naona watu leo hawajatoka kuandamana?? au Raila kakwama>?? Raila mm nampenda lakini kitendo cha yeye na Uhuru kuzubaa Ruto akawapita kati hilo kwa kweli ni kosa lake atulie tu sasa...
Unless hujaangalia Media za Kenya,watu wapo mtaani na leo ni wengi zaidi ya Jumatatu iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…