Will Smith in Masai Mara

Regional Air hub yake iko Arusha,, sasa cjui kama ni kweli willy yuko kenyaa
 
wanajitekenya na kucheka wenyewe....hapo watamuhesabu pia kwenye takwimu zao za watalii waliotembelea kwao!
 
salaleeeee hata aibu hawanaaa this is too much kabisa hasa hawa jamaa Zetu pande za Nai mbna sijawaiona Mtz Akisema Victor Wanyama katoka Tz hebu jifunzeni kusifia vya kwenu na sio vya jirani,Mount Kilimanjaro,Diamond,Darasa,Presidaa,Serengeti national park,Sammata hao tiyari mlitaja wa kwenu.
hatimaye hata mm mtasema nimetoka Nai.
 
Smith alikuwa misri hiyo juzi, na baadaye akatua jkia through ndege ya egypt air( as per the flight manifest). Later akaja huko bongo so blah blah nyingi Upuzz tu
 
If at all African countries are to develop, This silly inferior mentality has to stop.

Sasa ushawai skia marekani ama uingereza wakibabaika mkitembea kwao?? Yet here we are arguing whether or not he's in Kenya, Tz ama UG.

Im sure he's looking at us Africans kama wajinga. Huu ndio ukoloni wa Akilini.

If your mind is conquered, you are going nowhere.
 

Mkuu nna wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri,kwa taarifa yako Watalii hawaji hivihivi bila marketing,na hii ni mbinu moja kubwa sana ya kuvutia watalii,Will Smith anao mashabiki wengi sana duniani ambao wakisikia amekuja Tanzania tena kutembelea mbuga ya wanyama they will be very interested to do the same.usifikiri hao Waganda au Wakenya ni wajinga kujitangazia kuwa Mr Smith alikuwa kwao."WAKE UP"
 
Alitua jkia, kisha akachukua ndege ya regional air from wilson airport (nairobi) to the serengeti,hapo ndipo hio picha ilipopigwa. Case closed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…