Will Smith in Masai Mara

Mbona mnapenda ugomvi sana.mipaka ya nchi iheshimiwe.kaja Tanzania tulieni.siku akija kwenu tutatulia.
Mimi naona hapa umeanzakuchanganisha. Ni kama hujui unalosema wewe!!! Wewe unalialia, kila kitu kikipita karibu na Kenya, mnalialia, huu mlima tunaochukua picha tukiwa Kenya ndio mnashinda mkilialia??
 
Sisi wenyewe hatujiheshimu, wenzetu ndo watatuheshimu? Zama za Hayati Nyerere huu ujinga hata wasingethubutu.
 
Hawa akina MK254 ni mabashite kweli.

Hehehe Huku wapi umeniita, tena mtatukoma, mna liinchi likubwa lenye kila kitu lakini mnajiachia kuwa maskini hamlitumii vizuri, tutapiga hela tena mbele kwa mbele. Mlima Kilimanjaro wetu, Diamond wetu, Mrisho Mpoki wetu, Serengeti yetu, Magufuli wetu, Bashite wetu, daraja la Kigamboni letu, wanawake Wabongo wetu kwanza pale Rombo tulishawachukua wote. Hadi mkae...
 
Na wauaji wa albino ni wakenya.Pumbafff.
 
Ongezea na magovi hapo
 
Kama sisi tulishindwa kutangaza kuwa smith yupo tanzania ili tu hold part of his fanbase kama our next tourists . Kwann wao washindwe kudanganya kuwa alikuwa kwao ili wanufaike wao.
 
Hizi ndio propaganda za kibiashara, kuna watu special nchi za wenzetu kwa kazi hii, na wanaleta impact. tusiwadharau kabisa.
 
Wakenya ni watu wa kujiongeza...
Huku watu wapo bize na kutangaza chuki na visasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…