Will Smith is no more

Oh my, leo hii nilikuwa nacheki ile sinema yake ya Bad boys pale mnet action 106. I'll be back fully stuffed manake nimejaribu kugoogle sijaona zaidi ya kuambiwa kuwa 2pac yuko N zealand!
 
RIP SMITH

u mwaka mbona misiba ming jaman..dah
 
Hackers hao wanaendeleza libeneke.
Siku hizi mitandaoni humu Noma tupu
 
Hiyo ni jina la sinema mpya aliyoizindua New Zealand
 
Inasikitisha sana siamini bado habari iko kwa Global Associated News. Nilikuwa nampenda sana
 
tor - Will Smith Falls To His Death In New Zealand

THIS STORY IS STILL DEVELOPING...

Actor Will Smith died while filming a movie in New Zealand early this morning - May 31, 2011



Preliminary reports from New Zealand Police officials indicate that the actor fell more than 60 feet to his death on the Kauri Cliffs while on-set. Specific details are not yet available.
 
Hii habari ni ya mashaka sana... ukiachilia hiyo web site moja, hakuna mahali pengine popote pale inaporipotiwa wakati kwa hakika kama suala hili lingekuwa kweli, ni habari kubwa dunia nzima kwa kila news agency
 
Mmmh siamini!!
Actor ambae nilisikitika sana alipofariki ni Bernie Mac...kama WS nae ni kweli ntasikitika kweli!
 
Inasikitisha sana siamini bado habari iko kwa Global Associated News. Nilikuwa nampenda sana

naona kama uzushi mbona nimecheki hakuna latest news kwenye GAN na CCN hakuna issue kama hiyo naomba unipe link ya hiyo habari tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…