Will Smith- "Sasa macho yangu White House"

Will Smith- "Sasa macho yangu White House"

Msanii wa filamu na mwanamuziki wa ki-Marekani, Will Smith, ameonesha hamu yake ya kujihusisha na mambo ya siasa nchini Marekani.
Msanii huyo amekaririwa kusema kuwa; ni matumaini yake kuingia White House siku moja.

Mazee,

JF Rule number 6, ukiweka habari weka na source.

Hukupata kijitabu nini?
 
mkuu we kweli maboko. weka details. kama huna details/source kama kimya humu kuna watu na khesima zetu
hatutaki uzushi.
 
Du! jamani, nilisahau kidogo tu! Ndio kunirukia hivyo. eeeh! mwenzangu!!!
Haya basi; nshaiweka!!!
 
Back
Top Bottom