Mataifa mangapi yanaongea kiarabu. Halafu nambie idadi ya total population......Kwamba
Oooh Allah.., Lugha ya kitabu chako inakubalika na kusambaa kwa kasi...
Shukrani kwa fadhila za Founders!!
Sawahiliya
Hahaha.. ivo hujazinduka hadi sasa?!?Lugha gan
Hahaha.. ivo hujazinduka hadi sasa?!?
Kuna LUGHA gani zaidi ya KIARABU...
Hahaha.. nenda ukalale..halafu uote ndotoni uliza hizo lugha tano ?? Ni zipi...?Kiarabu kiarabu hata kwenye lugha tano duniani hakipo kimesambaa africa sababu ya utumwa
Hahaha.. nenda ukalale..halafu uote ndotoni uliza hizo lugha tano ?? Ni zipi...?
Halafu wee kijana..usiamini hadithi za Utumwa
Hilo ni changa la macho..
Propaganda ndiyo sbbKama hukubaliani na ukweli shida inaanzia hapo