πŸš‰ Will Tanzania SGR terminus beat the Kenyan terminus 🏒 in attractiveness? The answer is YES πŸ‘πŸΌπŸ€Έ

Hivi karakana itakuwa wapi?
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ujue wameangalia makosa ya Kenya na Ethiopia wakapata pa kuanzia plus kaushindani basi ni kupiga bao wakenya labda tutashindana na morroko huko
tangu wakenya wakuolee dada yako umekuwa ukiwashabikia sana hawa jamaa

kumbe sometimes akili ikikukaa sawa huwa unaandika vitu vinavyo-make sense.
 
Leo kweli nimeamini kuwa beauty is in the eyes of the beer-holder; there is nothing beautiful there
 
AMAZING!
 
Bado Morogoro - Makutupora wanasafisha eneo na kujenga Camp mambo ni motooo.JPM si wa mchezo mchezo.
 
Wachina wamewaliza hawana hamu. Vichwa vya treni na mabehewa waliyoletewa havina design tofauti na bile vya TAZARA vilivyoletwa bandarini Dar mwaka 1979!

Miaka 40 iliyopita tumevitumia mpaka vimeharibika wao ndio wanaletewa miaka hii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…