Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

Jina liwe Kilombero.Ni utovu wa nidhamu kuita Mkoa Ulanga then Makao Makuu yawe Ifakara badala ya Ulanga kwenyewe.

Hatuna mikoa ya hivyo hapa Tanzania,yaani Jina liwe lingine na HQ iwe kwingine Hilo halipo ,unless Ulanga ingekuwa independent kwamba sio Wilaya.

So best name iwe Kilombero Region yenye HQ Ifakara
 
Tatizo la nchi hi sio kuunda mkoa mpya hapana hata wale walioko karibu na makao makuu ya mkoa huduma muhimu hawapati.......tatizo la nchi hi ni uduni wa elimu afya maji na ufisadi uliokithiri
Kusogeza Administrative areas kunaleta maendeleo maana kunarahisisha Huduma.

Just imagine wakati Rukwa inahusisha Katavi hakuna Cha maana kilikuwa kinafanyika ila baada ya kugawa Saizi Katavi ni Maendeleo Kila Kona.
 
Ifakara ikiondolewa mkoa wa Morogoro, mapato ya mkoa yotashuka kwa kiwango kisicho cha kawaida.

Waruguru watabaki kupigana zongo na majini na pia kusomeana vitabu kule kinole


Yes, Morogoro ni kubwa sana, lazima igawanywe
Unaposema Ifakara unamaanisha nini? Kwamba Ifakara town ndio Inaendesha Morogoro au?
 
Ni mawazo Yako lakini.Mfumo huu wa Central government kuanzisha maeneo mapya ya Utawala ni muhimu.

Wazo lako linge make sense kama tungekuwa na mfumo wa decentralisation ambao unapunguza Mikoa lakini inaongeza Halmashauri so ni Yale yake.
 
..Chato ndio waliomba wapewe mkoa.

..sikuwahi kusikia wananchi au wabunge wa Morogoro wakiomba moka ugawanywe.
Wewe ndio hujui na hujawahi sikia, Morogoro ndio walikuwa wawe Mkoa wakati inaundwa Ile Mikoa mingine mipya.

Kina Chato ni Makelele tuu ya kina Mwendazake
 
Haikua saihihi hata mkoa wa tabora japo ni mkubwa lakini hautakiwi kugawanywa kutokana na makao makuu ya mkoa yapo katikati ya mkoa.
Kwa Tabora hata Mimi suoni haja ya kuugawa Kwa sababu jiografia yake Iko vizuri Sana tofauti na Morogoro lakini Cha ajabu wanataka Mkoa Mpya eti wa Nzega na Rais alisema mda ukifika wataugawa.
 
..hakuna umuhimu au ulazima wa kugawa mikoa iliyopo.
Umuhimu na ukazima upo.Kwa sababu Utaratibu wa Central government unagawa pesa za Kuendesha Nchi kimikoa so kama Mkoa wenu ni mkubwa utagawiwa sawa tuu na Mikoa mingine so mpaka hapo mnapunjika.

Pili kama mna Halmashauri chache mtapata pesa kiduchu kuliko wengine.Mfano mzuri ni Mkoa wa Rukwa Huwa unapata hela kiduchu sana Kwa una Wilaya 3 tuu.
 

..solution ni kuweka namna bora ya kugawa fedha za maendeleo na sio kugawanya mikoa.
 
Chawa wamependekeza uitwe mkoa wa samia
 
Ifakara ikiondolewa mkoa wa Morogoro, mapato ya mkoa yotashuka kwa kiwango kisicho cha kawaida.

Waruguru watabaki kupigana zongo na majini na pia kusomeana vitabu kule kinole
😂🤣
 
..solution ni kuweka namna bora ya kugawa fedha za maendeleo na sio kugawanya mikoa.
Kugawa maeneo mapya ya Utawala ni sehemu ya ugatuzi wa madaraka na kusogezo Huduma Kwa Wananchi.

Sio sawa mtu anatoka Malinyi Kufuata CT Morogoro hospital ya Mkoa.Wangekuwa na Mkoa Kila kitu kingeishia Ifakara,na Huduma zingine kama hizo.
 
Kugawa maeneo mapya ya Utawala ni sehemu ya ugatuzi wa madaraka na kusogezo Huduma Kwa Wananchi.

Sio sawa mtu anatoka Malinyi Kufuata CT Morogoro hospital ya Mkoa.Wangekuwa na Mkoa Kila kitu kingeishia Ifakara,na Huduma zingine kama hizo.
solution hapo ni kuweka hospitali hayo maeneo yenye hadhi ya mkoa, sio kutengeneza mkoa mpya ili uweke hospitali ya mkoa, mnatumia akili gani nyi wafuasi wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…