johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 841
- 909
binafsi huwa najiuliza kipindi cha Wakoloni na Nyerere mpaka Mwinyi tulikuwa na mikoa michache na wasomi wachache achilia miundo mbinu hafifu(haikuwepo kabisa) lakini nchi haikuwa na lundo la viongozi.Tatizo la nchi hi sio kuunda mkoa mpya hapana hata wale walioko karibu na makao makuu ya mkoa huduma muhimu hawapati.......tatizo la nchi hi ni uduni wa elimu afya maji na ufisadi uliokithiri
mhn! hapa Morogoro watabaki maskini tuWilaya zitakuwa....malinyi, Mtimbira ,ulanga, mlimba ,kilombero ,ifakara, ........morogoro watabaki..mikumi, moro town, moro vijini, kilosa, mvomero, na Gairo.
Ujinga huu uko maeneo mengi ya afrika. Chukulia mfano wa Nigeria.binafsi huwa najiuliza kipindi cha Wakoloni na Nyerere mpaka Mwinyi tulikuwa na mikoa michache na wasomi wachache achilia miundo mbinu hafifu(haikuwepo kabisa) lakini nchi haikuwa na lundo la viongozi.
sasa tuna viongozi wasomi lakini wengi ni watawala wako kuimega vizuri keki ya taifa.
binafsi sioni maslahi mapana kwa utitiri huu wa mikoa kama hakuna maboresho ya uongozi bora wenye kutengeneza fursa kwa wote kwa maslahi ya jamii kwa ujumla.
vinginevyo ni kutuongezea gharama za kuwatunza watawala na si viongozi wanaoangalia maslahi yao zaidi na waliowaweka.
sijui tunaenda wapi lakini kadri siku zinavyokwenda viongozi tunawafanya kama wanasesere wa udongo utafikiri hawakutoka kwenye familia zetu hii mbaya sana.Tunatakiwa tupunguze mikoa na wilaya,mimi ninahitaji huduma za kijamii na sio utitiri wa mikoa na wilaya,Tanzania yangu inahitaji mikoa 15 tu na wilaya 50 na wizara 12 tu,gharama za kuendesha serikali ni kubwa mno,na blue lights zinazidi kuongezeka nchini eti CDF naye ana blue lights convoy!!!,General Musuguri hakuhitaji blue lights na kazi ilifanyika ikiwa na kupiganisha vita
watawala wengi hawako tayari kujifunza na wataalamu wetu wamefyata mkia wanafanya wanayotaka watawala wanaogopa kugombana na Kaisari.Ujinga huu uko maeneo mengi ya afrika. Chukulia mfano wa Nigeria.
Wakati mkoloni akiondoka nchi ilikuwa ns majimbo manne. Miaka kadhaa badaye Jenerali Gowan aliunda majimbo mapya na kuifanya nchi hiyo kuwa na msjimbo 12
Leo Nigeria ina majimbo 36 huku baadhi ya watu wakichukua silaha kutaka kujitenga kwani seikali imeshindwa kuwahudumia.
Salute mkuu nchi inahitaji kichwa kama hiki cha kwako chenye mawazo ya push back na sio lalama lalama,watoto wao wapo Havard,wa huku lingusenguse wanalimia menosijui tunaenda wapi lakini kadri siku zinavyokwenda viongozi tunawafanya kama wanasesere wa udongo utafikiri hawakutoka kwenye familia zetu hii mbaya sana.
kibaya zaidi tunatengeneza mazingira ya kuzilinda koo fulani zitutawale milele wao na kizazi chao!
Kabla ya hata mkoa haujagawika unaweza kuona wakina nani wanamiliki ardhi sehemu kubwa na maeneo haya na wanataka nini siku zijazo.
wale wanaopambana na marehemu watakuambia hata wakati wake Hali ilikuwa hivihivi ingawa wanakili jamaa alikuwa hataki mchezo wenyewe wanamwita katiliTatizo la nchi hi sio kuunda mkoa mpya hapana hata wale walioko karibu na makao makuu ya mkoa huduma muhimu hawapati.......tatizo la nchi hi ni uduni wa elimu afya maji na ufisadi uliokithiri
Halmashauri tayari zipo. Wilaya zipo. Unaweza kuanzisha halmashauri bila kuanzisha mkoa mpya.Sense ni Ile Ile,wakianzisha Mkoa Mpya na Halmashauri Mpya zitaanzishwa
Sure lo
Mkoa ni muhimu, Halmashauri zilishakuwa nyingi zinahitaji Mkoa kuziendesha vizuriHalmashauri tayari zipo. Wilaya zipo. Unaweza kuanzisha halmashauri bila kuanzisha mkoa mpya.
Mmh! Ifutwe kabisa!!??Pwani inatakiwa kufutwa
Wizara 5 tu :- Fedha, ulinzi, mambo ya ndani, Afya na Elimu.wilaya,Tanzania yangu inahitaji mikoa 15 tu na wilaya 50 na wizara 12 tu,gharama za kuendesha serikali ni kubwa mno,na blue lights