The Mastermind
Senior Member
- Dec 3, 2012
- 107
- 50
2014 - Madrid baada ya kumtoa Pep semi
Mwaka huu ita changeHa ha ha, noma!
Mkuu sema mimi barcelona mbona unazunguka kuongea....Mimi huwa siwapendi tu Real tangu nikiwa mtoto.
Hivyo, naomba Atletico wanipe raha hiyo Jmosi.
Sina team LA LIGA.Mkuu sema mimi barcelona mbona unazunguka kuongea....
ok mkuu mimi Real Madrid toka enzi za kina karembeu....Sina team LA LIGA.
uefa ni ngumu hasa ikifika hapo lolote kutokea ila Atletico wapo vizuri kuzidi sisi kwa sasa kila idara sema kanuni alienacho ndio ita apply hapo...Anae mtoa barca anastahili ubingwa , ningependa real achukue lakini ni ngumu kama kubaka Simba hawa watu wa simion hawafungiki kizembe