Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sisi inaanza na weweWenzetu walipambania Katiba, kidogo matunda ndiyo hayo. Muhimili wa Mahakama unajisimamia wenyewe. Sisi huku kuanzia juu mpaka chini, ni vyura viziwi!!!
Katiba BORA ya KENYA bhana, sio hii ya kunywea Kahawa inayompa Raisi mamlaka ya Kisultani.Muhimili uliojichimbia zaidi ππ
Kiswahili kigumu, mtu akisema sisi ni kwamba yeye na nyie, unapomwambia inaanza na yeye unamaana hayumo kwenye sisi! Kiswahili kigumu.Sisi inaanza na wewe
Kabisa inabidi twende kwenye kiluguru sasa.....Kiswahili kigumu, mtu akisema sisi ni kwamba yeye na nyie, unapomwambia inaanza na yeye unamaana hayumo kwenye sisi! Kiswahili kigumu.