Hamjambo wa MMU,
Mimi ni kibebi, jinsia yangu ni mwanamke, nina umri wa miaka 29 ninaishi abroad (Ulaya). Rangi ya ngozi yangu ni maji ya kunde, mrefu wastani, sijawahi kuolewa kabla, na elimu yangu ni ya phd. Sipendi uongo na hila.
Ninatafuta kijana mwenye umri kuanzia miaka 30-40 atakae kuwa tayari kuwa rafiki, tukielewana tutaenda hatua ya wapenzi na hatimaye mume. Asiwe mario (anayependa kulelewa)Tutaanza na urafiki na ikionekana we can make it mambo mengine yatafuata. Pia awe tayari kuhamia ulaya ASAP tutakapofikia hatua za ndoa (kama tukijaliwa kufika huko). Napenda mtu mkweli na muwazi, kama utakuwa ni mtu wa hila ukweli sitakuvumilia na tutaachana tu kwenye hatua za awali.
Kuhusu maisha ya baadae (tukishafika kwenye level ya mke na mme) wakati akija ulaya asiwe na wasiwasi kwani nitasimamia kila kitu hadi mambo yake yanyoroke.
Naomba kama hauko serias usinitumie pm tafadhali.
Only shortlisted candidates will be contacted.
Ni mimi Kibebi.