salaam,, mapenzi huanza popote na Mimi najitokeza kuweka wazi hitaji langu la kupata mwenza wa halali hapa jf .. kwa aliye na uhitaji na akaona nakidhi vigezo vyake karibu tuiendeleze Safari ya maisha pamoja mpaka pale pepo itakapotuunganisha Tena.
wasifu wangu
jinsia: ke
umri: 29
rangi: mweusi
dini: Muslim
kabila: makonde
urefu na size ya mwili: wastani
elimu: bachelor degree
kazi: Sina ajira rasmi
Haiba: upole and likes to stay indoor most of the time.
sijabahatika kuolewa kabla lakini Ni mama wa mtoto 1,, not a single mom though nikimaanisha mwanangu anaishi na kulelewa na baba yake 100%
Kama hiyo ndo tafsiri ya single mother.
wasifu wa mume mtarajiwa
awe Muslim
umri kigezo mtume wetu muhimu awe mwenye kujitambua majukumu yake Kama mume Mimi natambua ya kwangu ila kukumbushana ndo kufaana.
sichagui elimu,, rangi Wala kabila Wala kimo ila sipendelei mwanaume mwenye kitambi,,, ndoa ya mitala nipo tayari ila mwanamke mwenzangu awe ameiridhia. currently naishi Tabora ila kwa mwenye Nia ya dhati nipo tayari kuishi popote.
karibu mume wangu mtarajiwa I can't wait to spend the rest of my life with you.