Co mbaya, kama mnaongea waweza mwalika, naye c atakuja na m2 wake, ila kwenye mkono wa pongezi anaweza acje, me x wangu 2lipoonana alilalamika kweli nimemnyima kadi ya haruc, nikamwambia ckujua unapokaa hata no yako ya cm ckuwa nayo, naye akaniambia eti amelipiza, ameoa na hajanialika kwenye haruc, nikamwambia hata ungenialika ruhusa kwangu ingekuwa ngumu, mana kwa mwanaume kutoka ni rahc kuliko kwa mwanamke, so hamna ubaya ni ww 2 mwenyewe uende au ucende. Wengine wanaogopa macho ya wa2, mana utakuta kuna waliokuwa wanamjua huyu alikuwa na uhucano na bw/bi haruc.