Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Kama anajielewa atautumia ushauri huu,tatizo anafanya kama anakomoa watu kumbe anajichafua mwenyewe,mambo anayoyafanya hayaendani na vyeo anavyogombania,ashajiharibia sana asipofanya ishu zingine kwenye siasa atasota sana hakuna anayeweza kumchagua jitu lisilojielewaWilliam Malecela,
Ndugu yangu, sikia ushauri unaopewa. Wewe ni mtu mzima. miaka 50 siyo kidogo. Tafakari hatima yako, haya mambo ya kuzunguka na wakina Wema, sintah, miss tanzania hayana tija katika harakati zako. Kila mtu anakuona kama vile haujakomaa siyo tu kisiasa bali hata kisaikolojia kiasi cha kupewa uongozi.
Nina imani, Rais Kikwete angeshakupa hata ukuu wa wilaya, lakini ww kila siku hupo kwenye klabu na mademu lukuki. Nakushauri ufunge blog lako, punguzi kujianika kwenye mitandao na pia utafakari mbele. Tabia unazoonyesha kwa sasa hazina toauti na za Mange (mtoto wa dadako). Kwa mtu msomi mweye upeo, nadhani haya yote ungeshayaona. Kumbuka una familia, watoto na mke. Hata kama mmeachana lakini bado ni mama watoto wako. Usijishushie heshima katika jamii
Come on William. Unawezaje kuzunguka na Mange, Sintah na Wema? seriously!
Kiongozi ni kioo cha jamii. Pale vijana wadogo ambao wengi wao ndio wapiga kura watakapokuona wa maana kwa kufanya vitu vya maana badala ya kujiita majin aya ajabu kama mvuta bangi wa kijiweni, mara LeBaharia, LeMutuz, bigshow, etc.. watakupigia kura, zaidi ya hayo, nadhani utaendea kuwa msindikizaji.
Mwone vicky Kamata, Catherine magige ambao hata kusoma sijui kama wanajua wako bungeni, wewe ni zaidi yao mara kumi, il akwa mwendendo huu ndugu yangu, safari itakuwa ndefu sana. Ushauri tu. Ila ukweli ni dawa, naomba uimeze utapona
William Malecela,
Ndugu yangu, sikia ushauri unaopewa. Wewe ni mtu mzima. miaka 50 siyo kidogo. Tafakari hatima yako, haya mambo ya kuzunguka na wakina Wema, sintah, miss tanzania hayana tija katika harakati zako. Kila mtu anakuona kama vile haujakomaa siyo tu kisiasa bali hata kisaikolojia kiasi cha kupewa uongozi.
Nina imani, Rais Kikwete angeshakupa hata ukuu wa wilaya, lakini ww kila siku hupo kwenye klabu na mademu lukuki. Nakushauri ufunge blog lako, punguzi kujianika kwenye mitandao na pia utafakari mbele. Tabia unazoonyesha kwa sasa hazina toauti na za Mange (mtoto wa dadako). Kwa mtu msomi mweye upeo, nadhani haya yote ungeshayaona. Kumbuka una familia, watoto na mke. Hata kama mmeachana lakini bado ni mama watoto wako. Usijishushie heshima katika jamii
Come on William. Unawezaje kuzunguka na Mange, Sintah na Wema? seriously!
Kiongozi ni kioo cha jamii. Pale vijana wadogo ambao wengi wao ndio wapiga kura watakapokuona wa maana kwa kufanya vitu vya maana badala ya kujiita majin aya ajabu kama mvuta bangi wa kijiweni, mara LeBaharia, LeMutuz, bigshow, etc.. watakupigia kura, zaidi ya hayo, nadhani utaendea kuwa msindikizaji.
Mwone vicky Kamata, Catherine magige ambao hata kusoma sijui kama wanajua wako bungeni, wewe ni zaidi yao mara kumi, il akwa mwendendo huu ndugu yangu, safari itakuwa ndefu sana. Ushauri tu. Ila ukweli ni dawa, naomba uimeze utapona. Kumbuka wewe ni mtoto wa kiongozi mambo yenu ni mswano. Ni kiasi cha simu au note, lakini wewe kwao hata hao viongozi utaonekana mtu asiye bebeka.
Watoto wa Mwinyi, Makamba, Nchimbi, Nnauye, Kawawa,Sokoine, ec..wote wanabebwa kwa nini wewe usibebwe? Pengine kwa sababu wewe ni mzito sana na hii inatokana na zigo la wakina Wema na Mange ulilojitwika mwenyewe. Mtoto wa mkulima anasota miaka karibia 15 kufikia hapo ulipo, wewe tu kushuka majuzi toka NY, umeshakutuna na viongozi karibia wote. Kwa nini wasikulazimishie hata ka cheo?
Jibu mwenyewe kwani wanao wanakuwa na wanakusubiria kule Mt. Vernon. Kadhalika wapo katika umri wa kusoma mitandao na kuona picha zako na Vimwana
Ndugu yangu Le Baharia Lemutuz, the Big show, Sauti za Umeme @NY amepata ajali nyingine ya kisiasa pale kigamboni baada ya kuangukia pua katika uchaguzi wa viongozi. Waliopita kidedea ni Ndg. Adriano Richard Haonga na Zulfikar ali Mzige.
Tafadhali ndugu yangu William Usikate tamaa. Kama vipi JK akupe hata ukuu wa wilaya ukisubiria Mtera 2015. umekuwa mtetezi mkubwa sana wa Chama, hata NEPI akupe kazi ya ushauri wake kwenye maswala ya mtandaoni na siasa kwa ujumla. Kumbuka hata shyrose Bhanji naye alipitia haya haya. USHAURI. Punguza kuhudhuria kumbi za starehe na kuzunguka na wadada zetu, pengine watakuona wa maana
Ha ha haaaaa,Idawa bwana!huyu jamaa wangekua walishampa cheo mda mrefu tatizo kupiga picha na akina wema,sinta na kwenda twanga kila show halafu kesho yake anajitangazia mitandaoni hii inawakera sana wenye chama.!!
Very powerful!William Malecela,