William Malecela na Ajali za Kisiasa

Hahahahaahahahhha much respect le big show I only aside with oppressed Le big show mti wa mchungwa na mndimu utakao anza kuisha kwa haraka ni upi....... nadhani unajua achana nao live your life.
 






- JUST GET LIFE BABY! HA! HA! HA! HII YENU INAITWA NATAKA SITAKI, SAWA NILIKUTAKA KWA KUTOKUKUJUA WANAOKUJUA WALINIONYA MAPEMA SANA NIACHANE NA WEWE NAMSHUKURU SANA MUNGU NILIKUACHA MAPEMA SANA, MWANAMKE MTUMZIMA ELIMU KUBWA LAKINI KICHWANI WADUDU WATUPU, THIS IS THE BEST YOU COULD DO BADALA YA KUTAFUTA MWANAME MWINGINE, NAJUA SHIDA YAKO NI MTOTO WA KIONGOZI VIPI MBONA WAPO WENGI SANA FACEBOOK KWANI NI MIMI TU?

- UNAHANGAIKA KILA KONA UNAIFUATA FUATA NINI KINAKUSUMBUA DADA? IMETOKA WANGU SINA MPANGO TENA NA WEWE, NINAAMINI UNA AKILI ZA KUTOSHA KUJUA UKWELI HAPA KWAMBA SINA MUDA ATENA NA WEWE, POLE SANA RUDI TENA FB KUNA WATOTO WA VIONGOZI KIBAO SIO LAZIMA IWE MIMI TU!!

NAKUONEA HURUMA SANA, COZ MIMI SIO WA KWANZA DUNIANI KUCHANA NA MKE, TENA MIAKA MITATU ILIYOPITA WEWE UNAONGELEA LEO, WATOTO WANGU HAWAHUSU ANYTHING NI WATU WAZIMA WANA AKILI ZA KUTOSHA KUJUA KWAMBA NINA MY LIFE TO LIVE NA KWAMBA KWA SABABU NI BIG CELEB, NINAKUTANA NA CELEBS WENGINE NA KUPIGA NAO PICHA NA ZIPO KILA MAHALI KWA SABABU MIMI SASA NI BIG CELEB AU BIG STAR!!

HA! HA! HA! HA! HA! HA! NAOMBA NIISHIE HAPA MAANA INAVUNJA MBAVU SANA JINSI UNAVYOHANGAIKA TOKA NIKUKATIE UMEME!1 PLEASE TAFUTA BWANA MWINGINE SI ULISEMA UNAYE, AU? HA! HA! HA1 BY THE WAY JUMAMOSI IAJYO NIMEALIKWA KUTOA HOTUBA KWENYE MKUTANO WA MAKANISA KARIBU SANA UJE UMUOMBE MUNGU WAKO AKUSAIDIE UONDOKANE NA MIMI KICHWANI MWAKO THIS IS BIG SHOOW NDIO KWANZA LIMEANZA BADO MAPEMA SANA!! KAA PEMBENI UONE MAANA LE MUTUZ IN THE ACTION!! NI SUPER SANA!! HA! HA! HA!

LE BIIG SHOOW!!
 
Mkuu kwenda kwenye starehe na kupumzika mahala na watoto wazuri sio kosa.
Ila as a prudent man kama umeamua kufanya siasa tunatarajia mtu mzima ukipata nafasi ya kujitokeza kwenye mitandao na vyombo vya habari ni muda muafaka wa kuonyesha yale yanayopendezwa na wengi hasa kwenye career uliyoamua kujishuhulisha nayo officially.

Kuna kitu kinaitwa ulimbukeni, ni ngumu sana kumgundua limbukeni ila kama mtu umeamua kufanya jambo la starehe na asubuhi unataka kila mmoja kujua ulilotenda usiku wa manane na vimwana tena wenye kashfa za kimaadili mbele ya jamii tena kwa kutumia vyombo vilevile vya habari alivyovitumia kutangaza nia yako ya nafasi ya kisiasa mbele ya jamii ni dhahiri kwa jamii hii ya kiafrika/kitanzania utaonekana ni mtu uliyekosa maadili.

Hakuna anayeingilia maisha yake, ila anapata changamoto ya haya anayoyafanya kijamii hasa ukizingatia ameonyesha nia ya kuwa mmoja wa wasimamizi wa kisiasa kwenye rasilimali za watanzania maskini wenye kutanguliza imani na maadili juu ya msimamizi ambaye atahitataji kuwasimamia.
Hapa ni Afrika/Tanzania.
 

Ingawa sikukubali kama kiongozi, nawasikitikia waliokuchagua. Sababu ni mwendelezo wa ccm kuchagua incompetent persons kwenye nafasi zao za uongozi. Mapendekezo yangu kwa mods ni kuifuta au kurekebisha hii thread sababu imepoteza maana unless ithibitishwe tofauti na unayoyasema hapa. Na aliyeileta pamoja na wengine wote wanaoleta thread zisizo za ukweli, wapigwe life ban hasa inapothibitika imeletwa kwa makusudi ya kupotosha. Hiyo itasaidia kurudisha heshima ya jf! Ni hayo tu.
 
Punguza kuhudhuria kumbi za starehe na kuzunguka na wadada zetu, pengine watakuona wa maana hAPA UMENENA...ILA NAE WALEWALE TU WANAOTAFUTA NJIA ZA KUJINUFAISHA... MWANA SI HASA HUYU. IN SHORT MI NAONA HAFAI KUA KIONGOZI
 
Ha ha ha haaaaa....Willy Unapenda kukasirisha watu sana mkuu!

Najua wakuu wengi hapo kimoyo moyo wanatoa macho na silent compliment zinapita mioyoni mwao huwezi kosa one of these complements kama
. . .fertile, glorious, honorable, imperial, joyful, knowledgeable, loyal, melodic, noble, open minded, posh, quintessential, resourceful, stunning, tasty, understanding, voluptuous,wonderful, . . . .

Ila usikasirishe watu kihivyo mkuu!
Duh! Nimecheka kweli
 

Unajua haya maadili mnayoyasema nashindwa kuelewa nia ya JF au ya Society, ambayo juzi ilijaza uwanja kwa kulipa Shillingi 10,000 kuona hawa wadada niliopiga nao picha hapo juu, sasa unasema uwanja mzima siku ile ulijaa wananchi wasio na maadili kwa sababu wamekuja kuwaona wadada niliopiga nao picha? ha! ha! ha! ha! ha!

Wadada wote ninaopiga nao picha ni wacheza sinema, watangazaji TV an Redio; au unasema hiyo ni industry isiyo na maaadili? Are you serious au unatania?

Ninachoona humu ni kwamba watu wengi hamna maisha ndio maana mnahangaika sana hii ni treni ya Biig Shoow haisimami, imeondoka hiyoo INFACT NAWASHUKURU SANA JF KWA THIS FREE PUBLICITY I CAN LIVE WITH THIS IS WASAP SANA, NAJUA MLITEGEMA NITAINGIA CHADEMA NO NA NEVER!!

BY THE WAY MMEIONA ILE VIDEO YA JUZI SABA SABA SASA SASA IPO YOU TUBE SO NA ZINGINE ZOTE ZITAWKWA SOON SO MSIWE NA WASI WASI, KUHUSU MAISHA YANGU YA KILA SIKU NINAMUIGA RAIS OBAMA KULE FACEBOOK HUWA ANASEMA MAISHA YAKE YA KILA SIKU NA MKEWE PIA, FACEBOOK SIO MAHALI PA SIASA NI PICHA NA MASIHA YA WATU!!

NAJUA WENGI MKO BITTER PIA KWA SABABU NIMEWA-DELETE KULE FACEBOOK NI KWA SABABU YA KUKOSEA ADABU MY FRIENDS KULE, POLENI SANA!!

SALUTE PEOPLE NA LOVE YAH MCUH!!

LE BIIG SHOOW!!
 
Reactions: YE
Mkuu, hapo kwenye red tuko pamoja sana

Btw:
Unfortunately, social networking lends itself to serious oversharing, especially on Facebook, although Twitter is a close second in some ways. I love Twitter, but I cringe at some of the comments I see. Frankly, I'm surprised that more people aren't fired for their comments. I even stay (mostly) away from politics and religion on Twitter.
 

- ungejisikitikia kwanza wewe kwa kutochaguliwa very competent person! Ha! Ha! Ha! Niliwaambieni siku nyingi sana facebook na jf hazichagui kiongozi wa bongo, ila kurushiana majungu tu unaona sasa pamoja na majungu yote hapa bado ninaondoka tu, hiyo power mnayodhani mnayo ukweli ni kwamba hamna wananchi wa bongo wanazo akili za kujua mchele na pumba zipo wapi,

- now look kati ya jana na leo, tayari thread 20 kila kona ya jf, leo dada mmoja mkuu sana wa shiorika la umma alinipigia akinisoema thread moja humu akasema nipo juu sana maana hakutegemea jf inaweza kupoteza muda mwingi na mimi kihivi, so great people twende kwa mbele sasa majungu tuache maana hayawezi kusaidia anything!1

- nitaendelea kwenda kwenye mialiko na kwenye sherehe za wananchi na huko kama kawaida nitendelea kupiga picha na watu wote na kuziweka kila mahali, pia nitaendelea kuongelea maisha yangu facebook kama kawaida na blog itaendelea kama kawaida leo ndio kwanza nimesaini mikataba kitatu ya new ads, very soon nitaanza kuajiri vijana kusaidia kazi za blog, so unaona kuna ajira hapo so people realx and enjoy the biig shooow by le mutuz!!

Kumbuka starring hauwawi! Ha1 ha! Ha! Ha! Na by the way kesho kwa kushirkiana na kinje tumetayarisha big fundraising pale obey; kenyetta road kuanzia saa nne asubuhi kusaidia watoto wa yatima dodoma na hawa ma-celebs wote watakuwepo so karibuni sana wakuu!!

Biig shoow!!
 

Tatizo lenu nyie mnamfuata Le mutuz hamjui anachokifanya hovyo kabisa nyie hata market hamjui ndio maana wengi wenu mnakuwa maskini mpaka makaburi yenu hayajengewi. Yeye anafanya market ya blogu yake wa wapi nyie sometime I hate being called tanzanian
 

Si ulitaka umaarufu subiri basi na hii ndo gharama yake
 
baba, kwa hiyo huo ushauri umeona kama vile ni wivu? Pole sana mkuu.. Mungu akutangulia kwa yote nohing more to say. This is a tragedy....wewe ni celeb wa nini? Wa ujinga?

- yaani kweli wewe unaacha shuguli zako kuja kuchangia thread ya celeb wa ujinga? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Yaani unakimbiza kichaa ukiwa uchi? Ha1 ha! Ha! Ha! Halafu kwenye chuki zako majungu na fitina na habari ya uongo unamleta mungu, mungu yupi unayetaja hapo? Ha1 ha! Yaani great thinker wnapokuw akama watoto wadogo inasikitisha sana, wewe una maadili baala ya kulilia thread ya majungu kama hii haifai unleta maadili juu yake ni simplr childish!!


Biig shoow!!
Biig shoow!!
 

- wape darasa bro ila usimuamshe aliyelala waache bro siku wakiamka hawataniandika tena nitakosa freee media na my media stcks zitashuka so waache this is very good kwa my media things! Sikujua kumbe humu kuna wenye akili pia kwa kweli wewe we need to meet bro najua we can do something serious as of biashara maana unaweza kufikiri nje ya box la jf!!

- nitafute bro my cell: 0764-046-083 au 0717-618-997 anytime bro tukutane tuongee what we can do, kwa sababu you have the right attitude!!

Respect na salute!!

Le biig shoow!
 
With authority vested in me I declare you great thinker with great sense of humour
 

hebu punguza jazba kwanza nikuulize swali, are you she or he???
 
Kula bata Le Mutuz La Baharia Mbona Amos Makala anaimbwa kila band nahawasemi kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
 

- Simply childish; kwanza sijwawahi kuzunguka na Mange anywhere wala kupiga picha naye kama unayo iweke hapa, na nitajiuzulu nafasi zote nilizochaguliwa; hao wengine Sintah ni mtangazaji wa redi sasa unasema nini kwamba wasiilizaji wa hiyo redio ni wajinga na hawana maadili ila wewe ndio unayo? I mean Wema Sepetu ni Big Movie Star, unasema nini kwamba wananchi wote wanaoangalia Cinema zake ni wajinga wasio na maadili ila wewe unayo sana?

simply childsh!!

Le Mutuz!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…