William Malecela na Ajali za Kisiasa



Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Hapo nimekuelewa...
Go on
 
Yeye kapita kama Mjumbe wa Kata na Pia Mjumbe wa Wazazi wa Kata

Kwahiyo kapita kwa Kofia Mbili za Ujumbe; Hakugombea hizo Nafasi Nyeti

- Tumia akili kabla ya kuongea pumba, uchaguzi wa CCM kama uliofanyika juzi hauna anything to na Wazazi wala UWT kila chaguzi ni huru, Nimegombea CCM juzi na kushinda kwa kura 21 against 16, 4 ziliharibika!!

- Hao uliowataja hawana anything to do na nilichogombea, uzuri the media was there, na infact kuna mpaka Interview yangu kule mlimani TV so nenda ujipange upya, nashangaa thread yenye umbea na majungu kama hii inaruhusiwa kusimama hapa JF, sure it is good for my publicity lakini inashusha hadhi ya forums, mmeenda na kuchukua majina ya niliochaguliwa nao ili muonekane mna hoja na ukweli, majungu na umbea mtupu ninataka kuamini mlioandika hii kitu ni wanawake, maana kama sio then sijui wasap!!

Biig Shoow!!
 
[/CENTER]
@W. J. Malecela

Hapo tu ndo nakuona kama mtu mwepesi sana wa kusrespond ovyo tofauti na unavyotakiwa kuwa, plz jifunze kusema na media especially social networking like JF, otherwise you are destroying yourself

- Brother read my lips, JF na Facebook haichaguia kiongozi wa Tanzania, never!! you are destroying your self to think you have that you dont have to decide who should be a leader and who should not, you are advise is simply childsh and absolutely nonsense!! ha! ha! ha!

Le mutuz!!
 
Nimewasoma kwa umakini DaudiMchambuzi na CCM- Mama.
Nasikitika sana Willium amepuuza busara na hekima zao.
Hata hivyo mawazo na fikra zao,kuhusu maadili ya uongozi wa umma zinaweza kutumiwa na yeyote anayetamani kuongoza watu.

- Maadili nonsense kama yako hutolewa kwenye thread ya majungu na imaginations kama hii ndio maana siwezi kusikiliza coz ni simply nonsense!!

Le Biig Shoow!!
 
- Maadili nonsense kama yako hutolewa kwenye thread ya majungu na imaginations kama hii ndio maana siwezi kusikiliza coz ni simply nonsense!!

Le Biig Shoow!!

Huyu jamaa kiboko ana roho ya paka, anyway ngoja tukuangalie na wakati zako za ucelebrity pamoja na siasa. Mungu tuepushe na hiki balaa
 
Huyu jamaa kiboko ana roho ya paka, anyway ngoja tukuangalie na wakati zako za ucelebrity pamoja na siasa. Mungu tuepushe na hiki balaa

- Kwanza Mungu alitakiwa kukuepusha na balaa lako mwenyewe, miaka 50 Ughaibuni unaogopa nini kurudi bongo, wanaume wanarudi unaanza kulia lia njoo huku kama mwanaume kweli, wewe tulia huko kula hizo za huyo fisadi mlizoachiwa, sisi huku bongo tunajenga taifa letu, na pia tunakula bata za kibongo bongo kama mwanaume kweli njoo huku uone kama hukuchekesha, kaa huko tengeneza majungu maana unafahamika sana kwa kutengenezea watu majungu!!

- Huku bongo tuachie wanaume wa kazi, tuliokaa baharini tukaishi Ughaibuni na sasa tumerudi kujenga taifa, tumeingia EAC, tukarudi Kata, Wilaya na Mkoa na sasa tunaangalia Taifa, wewe endelea na majungu majungu huko Ughaibuni ya mwanaume mzima kwenda kuchunguza Rais kaja na ujumbe wa watu wangapi, na wamekula nini na wapi na walikuwa na masanduku mangapi, mwanaume mzima, badala ya kuja bongo kusaidia kujenga taifa lako!! ha! ha! ha! ha!

- kazi kujiiingiza na yasiyokuhusu na ubalozi wetu huko na kuleta majungu na hao watu wa huo ubalozi nawaonea huruma sana maana habari zako na hao wapuuuzi zipo sana huku, mnafikiri mna akili sana kuihujumu CCM, lakini za kwenu zipo jikoni zinaiva!!

- sO MUOMBE mUNGU AKUEPUSHE NA BALAA LAKO MWENYEWE SI UNAJUA WEWE MWENYEWE NI BALAAA!!

BIIG SHOOW!!
 

Duh! Waarabu wa pemba.....
 
.......................

Watoto wa Mwinyi, Makamba, Nchimbi, Nnauye, Kawawa,Sokoine, ec..wote wanabebwa kwa nini wewe usibebwe? Pengine kwa sababu wewe ni mzito sana na hii inatokana na zigo la wakina Wema na Mange ulilojitwika mwenyewe.....


................Pengine yeye hataki kubebwa na wala hataki kuwa mnafiki kwa kujifanya hana taimu na mademu huku anawazimia kweli. Nisingemlaumu kwa matendo yake kama ndivyo alivyo; wanaopata uongozi kwa kutunafikia ni wabaya zaidi kuliko hawa wanaokosa uongozi kwa kuonyesha ukweli wao.
 

- duh! mtumzima imebidi utoke maana yamekuzidia sasa! ha! ha! ha! ha! hii ndio JF utakabwa koo mpaka mfupa utakutoka tu na hasa kama unacheza ngoma ya kichawi gagula na Le Biig Shoow, Le Mutuz!! LE Baharia!!

- Finally naona somo limeanza kueleweka kwamba this is me Le Biig Shooow take it or leave it, lakini the Biig show will go on!!

- Super LE Mutuz!!
 

very,very,very well said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…