William Malecela na Ajali za Kisiasa

Wajameni nisaidieni,maana nashangaa haswaaa,hivi huyu anayejibu yote haya kwajina la W.J.Malecela ni Yeye mwenyewe kweliiii au mtu tu kaamua kumchafulia Zaidi? Kama ni Yeye kweli Mmmh, No comment! Sijui km kichwani kuna Brain au Kumejaa mikojo!!
 
Wajameni nisaidieni,maana nashangaa haswaaa,hivi huyu anayejibu yote haya kwajina la W.J.Malecela ni Yeye mwenyewe kweliiii au mtu tu kaamua kumchafulia Zaidi? Kama ni Yeye kweli Mmmh, No comment! Sijui km kichwani kuna Brain au Kumejaa mikojo!!
Ni yeye mwenyewe, le Mutuz, the Big show, Le baharia, Bongo Celeb na mengine yote. Nyie mwacheni tu, uchaguzi 2015 mtu anakuja kuzifufua hizi threads zote tuone ataficha uso wake wapi! Na hizi picha zote si zinaingia database ya upinzani?
 
Mi nahisi baba yako inabidi akuite akufunde. Pia kama vile ulikosa mapenzi ya mama? coz hiyo kujishika sana na akina dada sio kawaid. Perhaps kuna stage in puberty uliiruka and its taking place while your almost aging. Au ndio kudhani utawakomoa hao vimwana na wake zako uliowaacha Lemutuz LeBaharia?
 
- nipo huku osterbay ninaongoza fundraising ya kuaidia watoto wa yatima dodoma, vipi na wewe utakuja au utakalia maneno maneno tu hapa na majungu!!

Karibu sana ni kenyatta road, karibu na chole rd!!

Biig shoow!!

aisee we jamaa ni noma unakera atlast unafurahisha
 

 
W. J. Malecela hebu nyoosha maelezo acha kutupiga fix hapa mchana kweupe, nimeangalia katiba ya CCM hakuna nafasi inayoitwa mjumbe wa CCM wilaya bali nadhani wewe umechaguliwa kutoka kwenye kata yako kuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya ukiwakilisha kata yako ya Kivukoni. Prove me wrong please.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaaaaaa taifa umekuja kujenga na vimwana? kwi kwi kwi kwi
 

Nina hakika umewahi kutetewa na John Samwel Malecela na mama yako wa Kambo. Kataa!
 
It is much easier to be a Phd holder than to be wise, the reason is because there is no any known college of excellence which has excelled in offering that than U.O.L. But it is even easier to be wise than to be a Phd, because UOL (University of Life) the only one which has so far excelled in offering classes on wisdom, is free and open to all.
 
Yaani huyu baba anasikitisha Maskini ya Mungu,anavyojibu yaani naionea huruma familia yake,eti kuna watoto wanamuita baba huyu Jamaniii!! Eeeh Mungu weee!!
 
Mkubwa naona Leo Yuko front page kwenye magazeti ya udaku Na picha za warembo! Litamfurahisha sana hili kwa akili zake nyingi!!
 

Shemeji yangu william. uliingia mjini kwa pupa huyu mwenzetu alikuwa wosia mzuri sana lakini ukapuuzia. Leo wamekutundika kwenye magazeti ya udaku mkuu. aibu gani?..... heshima imeanza kushuka kwa kasi, jinsi ulivyoingia mjini kwa pupa. jaribu kuwa msikivu william
 

- Pole sana labda aliyeumia ni wewe sio mimi!

Le Mutuz!!
 
- Pole sana labda aliyeumia ni wewe sio mimi!

Le Mutuz!!
Kuna watu niliwaambia ile story ilitoka kwenye hivi vigazeti uchwara vya Udaku inawezekana kabisa ni ushauri wa kina Wema Sepetu kwa William ili aweze kumake headline kwenye vigazeti, lakini watu walinibishia, lakini kwa statement hii bila shaka nilikuwa sahihi maana ndege wafananao huruka pamoja, huu ndio upuuzi wanaoufanya kina Wema kila siku ili waandikwe kwenye vigazeti uchwara.
 
me cmo yangu yananshnda...cez inglia ya watt wa kshua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…