Kenya 2022 William Ruto aburuzwa kwa idadi ya Wabunge

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kwa matokeo ambayo yametangazwa hadi kufikia leo, Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amepata Wabunge 134 ambapo 88 wanatoka chama chake ODM.

Kwa upande wa Dr. Ruto wa United Democratic Alliance (UDA), amekusanya viti 101 vya Wabunge.

Kwa yeyote atakayeshinda Urais bila kudhibiti Bunge, linaloundwa na Bunge la Kitaifa na Seneti, anaweza kuwa kwenye wakati mgumu ikifika wakati wa kupitisha Sheria na Bajeti na hali itakua ngumu zaidi kukabiliana na vitisho vya kufunguliwa mashtaka.

----------

As the presidential election results continued to trickle in yesterday, the focus shifted to the battle for Parliament, the other arm of government where a president commanding the majority enjoys the legroom to implement his policies and programmes, but would be severely hamstrung if in a minority.

For Deputy President William Ruto of the Kenya Kwanza Alliance and Azimio la Umoja coalition rival Raila Odinga — who were in a neck-and-neck race to succeed President Uhuru Kenyatta yesterday — control of Parliament for whoever wins State House would be crucial.

For either of them, winning the presidency but not controlling Parliament, which is made up of the National Assembly and the Senate, would come at the risk of having legislative and budgetary proposals constantly thrown out or delayed, and in the worst-case scenario, face threats of impeachment.

NATION
 
Wajuvi wa mambo tusaidieni hapa, Je tunakwenda 2nd Round ??
49.91% kwa Rutto na 49.41 kwa Raila.

Haka ka kipengele kana maanisha nini ?
The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties

Ukiwa na Rais ambaye ana 50% majority ya Bunge ni vizuri mno kwa demokrasia na maendeleo sababu hawezi kufanya anavyofikiri kuburuza nchi.

Vitu vyenye Mantiki vilivyo na manufaa ama maslahi kwa Taifa lao ndiyo vitapita Bungeni. Hapa kwetu uwiiiiiiiiiiii.....Bunge kama kipitishio mzee.
 
Kwa matokeo ambayo yametangazwa hadi kufikia leo, Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amepata Wabunge 134 ambapo 88 wanatoka chama chake ODM.

Kwa upande wa Dr. Ruto wa United Democratic Alliance (UDA), amekusanya viti 101 vya Wabunge.

Kwa yeyote atakayeshinda Urais bila kudhibiti Bunge, linaloundwa na Bunge la Kitaifa na Seneti, anaweza kuwa kwenye wakati mgumu ikifika wakati wa kupitisha Sheria na Bajeti na hali itakua ngumu zaidi kukabiliana na vitisho vya kufunguliwa mashtaka.

----------

As the presidential election results continued to trickle in yesterday, the focus shifted to the battle for Parliament, the other arm of government where a president commanding the majority enjoys the legroom to implement his policies and programmes, but would be severely hamstrung if in a minority.

For Deputy President William Ruto of the Kenya Kwanza Alliance and Azimio la Umoja coalition rival Raila Odinga — who were in a neck-and-neck race to succeed President Uhuru Kenyatta yesterday — control of Parliament for whoever wins State House would be crucial.

For either of them, winning the presidency but not controlling Parliament, which is made up of the National Assembly and the Senate, would come at the risk of having legislative and budgetary proposals constantly thrown out or delayed, and in the worst-case scenario, face threats of impeachment.

NATION
Usisahau kuna wagombea binafsi pia coalition baada ya election.
 
Wajuvi wa mambo tusaidieni hapa, Je tunakwenda 2nd Round ??
49.91% kwa Rutto na 49.41 kwa Raila.

Haka ka kipengele kana maanisha nini ?
The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties

Lazma apate nusu ya kura zote plus kura moja na pia apate zaidi ya 25% ya kura kwenye majimbo 24
 
Back
Top Bottom