William Ruto alaani magaidi ya kipalestina kuwavamia na kuwaua waisrael wasio na hatia

Rais wa kenya amewalaani vikali magaidi kutoka palestine yaliyoshambulia kwa kuvizia waisrael wasiokuwa na hatia

Alisema hayo walipokutana na Rais wa uganda Tata mseven

Mseven naye amewakaripia magaidi
Kuna wakati wa kukaa kimya.

Haya mambo yana sayansi nyingi ndani yake.

Andika barua ya kulaani kimya kimya tuma kwa wahusika. Mataifa yetu haya machanga hayana usalama wa kutosha
 
Sema"taifa letu" ,siyo mataifa yetu,sie huwalaani magaidi hadharani Tena Kwa kuwakaripia.
Nyie hulka yenyu twaijua fika ,kule somalia mliukunja mkia ilhali vishetani vyenu vilihusika katika vitendo vya kishetani huku Kenya.
Nyie ni wale wale hamna tofauti.
 
Bahati mbaya niliyonayo ni kwamba sijajaaliwa ujinga.

Bahati nzuri inayonikabili ni kwamba muda wa malumbano sina
 
Back
Top Bottom