uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Somehow kenya is full and ahalf in term of politics
Benjamin netanyau anatambua magaidi hujificha msikitini kwa hiyo wanajeshi wanajua cha kufanya
chief wenu anasemaje?Rais wa kenya amewalaani vikali magaidi kutoka palestine yaliyoshambulia kwa kuvizia waisrael wasiokuwa na hatia
Alisema hayo walipokutana na Rais wa uganda Tata mseven
Mseven naye amewakaripia magaidi
Wanaogopa kukosa Hela za USA
Nini kauli ya Mama yetu kuhusiana na mgogoro huo?
chief wenu anasemaje?
Wapelekewe pumzi za moto mpaka kwenye madagoni yao. Wafilisti ujanja mwingi mbele gizaBenjamin netanyau anatambua magaidi hujificha msikitini kwa hiyo wanajeshi wanajua cha kufanya
chief wenu anasema nani mchokozi aliyeanzisha ugomvi hapo?Amesikitishwa na ukatili [emoji16]
Kuna wakati wa kukaa kimya.Rais wa kenya amewalaani vikali magaidi kutoka palestine yaliyoshambulia kwa kuvizia waisrael wasiokuwa na hatia
Alisema hayo walipokutana na Rais wa uganda Tata mseven
Mseven naye amewakaripia magaidi
Sema"taifa letu" ,siyo mataifa yetu,sie huwalaani magaidi hadharani Tena Kwa kuwakaripia.Kuna wakati wa kukaa kimya.
Haya mambo yana sayansi nyingi ndani yake.
Andika barua ya kulaani kimya kimya tuma kwa wahusika. Mataifa yetu haya machanga hayana usalama wa kutosha
Bahati mbaya niliyonayo ni kwamba sijajaaliwa ujinga.Sema"taifa letu" ,siyo mataifa yetu,sie huwalaani magaidi hadharani Tena Kwa kuwakaripia.
Nyie hulka yenyu twaijua fika ,kule somalia mliukunja mkia ilhali vishetani vyenu vilihusika katika vitendo vya kishetani huku Kenya.
Nyie ni wale wale hamna tofauti.