Kenya 2022 William Ruto kawekwa na matajiri, Wakenya mjiandae kulipia gharama za ufisadi

Kenya 2022 General Election

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Leo asubuhi nilikuwa naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia Wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi.

Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya Wakikuyu kwa ajili ya maslahi yao ya kibiashara. Na unaambiwa Raila Odinga angeingia Ikulu mafisadi wangekunya mavi.

Kila la heri majirani.
 
Hadithi za uwongo hizi...... kuna wengine mpaka mahakama za ufisadi walizijenga lakini mpaka leo hakuna mafisadi waliohukumiwa na Mahakam hizo hapa TZ.
 
Fuata yako achana na majirani, wewe hao mafisadi wakifaidi nchi inakuuma nn!! Na wewe mwambie shemeji awe fisadi!!
 
Hii topic imekuzidi akili nenda jukwaa la mipasho na uzi wa kula kimasihara ndio saizi yako
 
Leo asubuhi nilikua naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi.

Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya wakikuyu kwaajili ya maslahi yao ya kibiashara. Na unaambiwa Raila odinga angeingia Ikulu mafisadi wangekunya mavi.

Kila la heri majirani.
Uhuru aliwekwa na nani? Kuna vita yoyote ya ufisadi aliyopigana Uhuru katika miaka yake 10 ya Urais Kenya?
 
Unafahamu tajiri au Familia tajiri namba moja Kenya ni nani?
 
Leo asubuhi nilikua naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi.

Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya wakikuyu kwaajili ya maslahi yao ya kibiashara. Na unaambiwa Raila odinga angeingia Ikulu mafisadi wangekunya mavi.

Kila la heri majirani.
Shwaini kabisa wewe.
 
Kwa hiyo wapiga kura wake wote asilimia 51 ni matajiri
 
Leo asubuhi nilikua naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi.

Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya wakikuyu kwaajili ya maslahi yao ya kibiashara. Na unaambiwa Raila odinga angeingia Ikulu mafisadi wangekunya mavi.

Kila la heri majirani.
Umeingizwa chaka tena pori la kongo ni alikuwa raioa sio ruto huoni hata best yake ruto alikuwa amepagawa.

Sikia rudia nyuma maneno ya uhuru halafu utaelewa .
 
Kokote kule duniani. Matajiri ni watu wa muhimu sana. Nitajie masikini gani ana kiwanda cha maji ya kunywa.

Nikukumbushe. Hata mmiliki wa JamiiForums naye kwa kiwango chake ni tajiri. Si unaona unavyo enjoy kuwa humu?
 
"Unaambiwa" "unaambiwa"

Hiyo inaonyesha hauna uhakika na taarifa yako. Tupe deadline mpaka lini hayo uliyosema yaanze kutokea huko kwa majirani.
Huna habari.
Mbona ilishaanza. Bw. Musyoka aliyekataa rushwa ili asimtangaze mbunge ws Azimio amenyongwa kwa kukabwa shingoni.
Chebukati mwenyewe aliponea chupuchupu. Kama asingepokea rushwa ya $million 3 na kumtangaza ruto Sasa hivi angekua chakula Cha mamba
 
Mbona anayemaliza muda wake ni tajiri wakutupa?
 
Hadithi za uwongo hizi...... kuna wengine mpaka mahakama za ufisadi walizijenga lakini mpaka leo hakuna mafisadi waliohukumiwa na Mahakam hizo hapa TZ.
Zimejengwa wapi? Mahakama ya mafisadi sio majengo bali ni aina ya kesi
 
Back
Top Bottom